Mnamo Januari 26 Mwaka 2001, Chama cha Wananchi, CUF, kiliandaa maandamano halali nchini, kupinga matokeo batili yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar, ZEC. Serikali kupitia vyombo vya dola, waliamua kutumia nguvu kupita kiasi, kukabiliana na …
Ripoti ya DW-SW Shukurani za dhati kwa Ashakh
Naam leo nimepata nafasi ya kuonana na nyota adhimu katika fani ya utungaji Zanzibar, Bw Haji Gora Haji. Kwangu mimi ilikuwa fursa adhimu katika maisha yangu kwa mara ya kwanza kuonana naye uso kwa uso. Bw …
Ally Saleh, Mjadala mkali unaendelea kuhusu muswada wa sheria ya mafao ya viongozi wa kisiasa ambapo wajumbe baraza la wawakilishi wasio katika serikali wa cuf na ccm wanaupinga na wamediriki kuuita kuwa unataka kuanzisha ufalme. Muswada …
Mesej ambayo nimeletewa sasa hivi na inaelekea inasambazwa inasema hivi: TWENDENI kwa wingi kike kwa kiume kesho Jumatatu na saa mbili asubuhi tuwe tumeshakaa nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi, Chukwani ili kuonyesha Ulimwengu kuwa …