Waheshimiwa wananukumbi,
Tarehe 11/ 12/ 1994, kabla ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi, maalim Seif Sharif hamad aliwahutubia wananchi katika viwanja vya Malindi akimtaka Dr. Salmini amour kutangaza mgogoro wa kikatiba na kumuahidi kuwa hakuna litakalomtokea dhidi yake kutoka Tanganyika kwani CUF na wananchi woote wangekuwa pamoja naye, kama inavyotokea sasa hivi kwa Karume.
Ifuatayo ni hotuba ya Maalim katika kijitabu kidogo kilichotayarishwa na Kurugenzi ya Uenezi na Habari ya Civic United Front, chini ya Marehemu Mohammed Ali Yussuf. Proof Reading iliyofanywa na Papparai na kuchapishwa na Alkhairiya Printing Press, na sehemu ya uchapishaji kufadhiliwa na aliyekuwa Mbunge wa Malindi (CUF) Naila Jiddawy.
Maalim siku hizo alikuwa ni
[...]Endelea hapa “TANGAZA MGOGORO WA KIKATIBA (Part 1) – SEIF SHARIF HAMAD”
Revenue from our Videos Library (click to enlarge)
AS,
Natuma statistics za 120 days zilizopita na video revenue generated baada ya kuwa triggered recently for testing.
Hapo utaona kuwa matangazo yamekuwa triggered mid February, graph unaona inakwenda swafi kabisa kwenye wiki mbili za mwisho za February.
Tukumbuke humu tuna mawazo mengi ya kuleta maendeleo.Wengine watafanya dhihaki, lakini mimi naamini zote hizi zinafelli kutokana na mfuko uko empty!Sasa ni bora tujadili ni jinsi gani ya kufanya fund raising kwa ajili ya pirika za maendeleo.
Laiti kama mfuko una kiasi cha fedha, basi
[...]Endelea hapa “Fund raising techniques for our precious Zanzibar”
Kunatetesi zinasema makubaliano ya Butiama hayakukwama kwa cuf kukataa kura ya maoni no.yalikwama kutokana na upande wapili hauna nia njema na znz na hawapendi kuona wazanzibar wanafahamiana watafanya kila hila wapenyeze sumu na mifano mingi tunaiona yakuletewa vikosi vya jesh kutuua na kudukashi wazanzibar.kwa hio makubaliano ya Butiama yasingaliweza kuwa bila ya wazanzibar wenyewe wakitumia shombo chao cha baraza la Uwakilishi.sio Nec.
Wazanzibar kuna mambo katika siasa nilazima Ushemshe akili yako na ufanye utafiti sio kugeuka Pakasha la ushafu kutiwa kila kitu. Nimiafaka mingapi na makaratasi mangapi yalisaidiwa na hakukuwa na jambo na mwisho Kalikow na kauli za viongozi wa ccm-Tanganyika zakumkebehi Malim Seif na Chama chake
[...]Endelea hapa “Cuf wanasema ugomvi wandani ya Nyumba hauamuliwi na mtu usio muhusu”
Waziri wa Maji, Nishati na Ardhi, Mansour Yussuf Himid.
Shirika la umeme Zanzibar (ZECO) limesema haifahamiki huduma ya umeme itarejea lini visiwani humu kwa vile mafundi kutoka ulaya wanaendelea na matengenezo katika kituo cha Fumba Zanzibar na Ras Kilomoni, Tanzania bara.
Hayo yameelezwa na meneja wa shirika hilo, Hassan Ali Mbarouk, alipokuwa akizungumza na Nipashe baada ya kutakiwa kueleza ni lini huduma ya umeme inatarajia kurudi. Zanzibar iliingia gizani tangu Desemba 10 mwaka jana.
Awali Waziri wa Maji, Nishati na ardhi Mansour Yusuf Himid, alitangaza kuwa huduma ya umeme Zanzibar
[...]Endelea hapa “Zanzibar kuendelea kuwa gizani”
THE Lions Club of Dar es Salaam, in collaboration with Regency Medical Centre, will today send a group of 21 people including ten heart patients, five from Mainland and five from Zanzibar for subsidized open heart surgery.
A statement from Lions Club International said yesterday that the patients will be treated at Escorts Heart Hospital in New Delhi.
In the group, there are nine children with congenital heart diseases, the youngest being three months old Ayaan Andani, and a 24-year old young man with rheumatic Mitral Valve heart disease.
The patients will leave by Emirates Airline Flight along with Dr Ali Amour from Zanzibar. The group is expected back
[...]Endelea hapa “Heart patients go to India today”
Waziri Kiongozi, Shamsi Vuai Nahodha.
Chief Minister 2005 – present
Surname: Nahodha
Other names: Shamsi Vuai
Date of birth: 20 Nov. 1962
Place of birth: Zanzibar
Marital Status: Married
Sex: Male
Nationality: Tanzanian
Constituency: Zanzibar West District.
Academic Qualification:
1969 – 1978 Primary and Junior Secondary education at Kiongoni school in Makunduchi, Zanzibar
1969 – 1979 Ordinary level education at Ben Bella secondary school
1980 – 1984 Certificate of languages at the institute of Kiswahili and foreign languages, Zanzibar.
Area of specialisation: English, French, Kiswahili, History and Education
1984 –
[...]Endelea hapa “CV ya Mheshimiwa Shamsi Nahodha”
Na B. OLE.
Kwanza sina budi kuwatakia kila la kheri vinara wetu wanaopigania visiwa vyetu usiku na mchana. Namuomba M/mungu awajalie maisha marefu ili mutuokoe sisi wazalendo wenzenu. Naamini jitihada zenu ni kubwa na inshallah Subhana wataala atatushia kheri na nyinyi mutalipwa kwa ujira wenu huu kesho mbele ya haki.
Ama baada ya hayo sina budi nichukue fursa kueleza yale machache kwa viongozi wetu hawa. Naamini nia na madhumuni yenu ni kuwaletea manufaa wananchi wenu na hii imedhihirika rasmi mulipoamua kuacha tofauti zenu na kufanya maridhiano, ambayo kwa walio wengi wameyafurahia na kuona kwamba ni hatua mojawapo ya kusonga mbele. Ingawaje, kuna wachache ambao hawataki
[...]Endelea hapa “Barua ya wazi Kwa Aman na Maalim Seif”
Assalam alaykum. wazanzibar mpaka sasa wanashaka kubwa na ccm-smz kuhusu wakuu wa tume ya uchaguzi kuwa hawana nia safi na uchaguzi ujao kuwa huru na wahaki. Hii inaonyesha wazi mshakaato mzima wa uandikishaji na haki ya mzanzibar katika kupata kipande na uandikishaji katika Taftar. Kwa hio wanasema utulivu upo Zanzibar wakutosha mpaka sasa Kutokana na mazungumzo baina ya Msh Amani na Maalim Seif. Lakini hali bado ni tete, tumeshoka na Mizengwe ya tume kufuja uchaguzi na kusababisha umwagaji wa damu ya kizanzibar ili tu kuweka mtu wao ccm. Hii smz nilazima italicise kama kwela tunaitakia mema nchi yetu na wananchi wetu kwa ujumla. Hakuna
[...]Endelea hapa “ccm bila ya kubebwa na tume ngoma mzito.hakuna uchaguzi huru na wahaki kama wakuu wa tume hawakubadiliswa Msh Amani”
Habari maarufu