Login



Fotos

Get the Flash Player to see the slideshow.

Jee kuna Mzanzibar yoyote aliowahi kuona au kuonyeshwa mkataba wa mungano wa serekali mbili ya zanzibar na ya mungano? Jee kuna siri gani au aibu gani kuto kuonyeshwa watu Mumkataba wa Muungano wao ili waweze kujuwa ni mambo yapi yalio ya Muungano na Yapi yasio ya Muungao?

Mgogoro wa kikatiba Tanzania: Chanzo ni nini?
2 04 2009
Makala ya Kiongozi wa Upinzani kwenye Baraza la Wawakilishi, Mhe. Abubakar Khamis Bakari
Wah. Wazanzibari Wenzangu, Wake kwa Waume,
Wah. Wageni Waalikwa,
Wah. Salaam na Amani Ziwe Juu Yenu.
Utangulizi
Wahe. Wazanzibari;
Mada mulionipa kuiongelea ni “Mgogoro Wa Katiba”Tanzania. Ni mada refu na pana. Huwezi kuzungumzia mgogoro wa Katiba bila kwanza kugusia, ingawa kwa kidogo tu mambo matano muhimu, nayo ni–
i) Zanzibar kama nchi na Mamlaka yake.
ii) Tanganyika kama nchi ilivyokuwa wakati huo na mamlaka yake
iii) Muungano na Makubaliano ya Muungano.
iv) Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
v) Katiba ya Zanzibar,
[...]Endelea hapa “Jee kuna Mzanzibar yoyote aliowahi kuona au kuonyeshwa mkataba wa mungano wa serekali mbili ya zanzibar na ya mungano? Jee kuna siri gani au aibu gani kuto kuonyeshwa watu Mumkataba wa Muungano wao ili waweze kujuwa ni mambo yapi yalio ya Muungano na Yapi yasio ya Muungao?”

Adha za umeme kwa wanafunzi wetu!

[...]Endelea hapa “Adha za umeme kwa wanafunzi wetu!”

ama kweli? unaweza kupenda kitu lakini ikawa hakina heri na wewe na unaweza kushukia kitu kikawa na heri na wewe. mfano ni ccm-smz zidi ya cuf na maalim seif.

Ukweli nikuwa bila ya cuf basi Zanzibar na Serekali yake ya smz isinge kuwepo mpaka leo na wala kusingalilia kingora cha Rais wala waziri, huu ni ukweli usio fishika kwa wenye akili za kujuwa mambo. Hivi sasa ccm-smz wanajuwa fika kuwa wamekalia tawi kavu. Yani wana yoyolewa mbawa kila kukisha na ile kusema katika BLW kuwa wenzetu wa bara wana shoyo na hawaipendelei Zanzibar kunufaika Nigeresha Bwege tu mafuta ya sende mengi(kujikaza kisabuni wakati sera ni 2-1=?)wanashezewa na wenziwao kama vile ….? Wanaume Cuf wana kisiwa kizima Pemba na Unguja walio bakishiwa ccm wasijidanganye na kujifurahisha ni majimbo mawili tu Kwahani na Miembeni kwa

[...]Endelea hapa “ama kweli? unaweza kupenda kitu lakini ikawa hakina heri na wewe na unaweza kushukia kitu kikawa na heri na wewe. mfano ni ccm-smz zidi ya cuf na maalim seif.”

mkuu wa vitambulisho vya uzanzibar Mohamed Juma Ame anasema waliokosa haki ya kujiandikisha wato hawana sifa za uzanzibar kwa hio sio wazanzibar bona watu wa tanga pangani,mafya na wamasai wa kiwengwa wote wamepata kuandikiswa hiwe nyie tu?

Maskini Mh Shabani Hamis Mloo mawazo yake na busara zake tutazienzi. Aliona mbali aliposema Zanzibar hatuna Serekali tuna kikundi cha wahuni tu. Leo ni Nchi gani ulimwenguni inayo wakataa wananchi wake na kuwanyima haki na kuwakumbatia wageni kwa kuwapa uhalali wa Nchi na usibiticho wa uzawa vyeti vya kuzaliwa na utambulicho wa Zanzibar. Au ndio Msh Karume tulifanya kosa Mh Amertajo alipokula kiapo cha Ushahidi kuwa Father K kazaliwa Mwera ndio kiapo kile kilituzuru wazanzibar wote? Kunahaja ya wazanzibar kujipanga safu na Kenosha mazila ya kila siku kama hatuja pigana coper basi mambo hayawi heat and running mealtime itumike Zanzibar si hivyo Nchi

[...]Endelea hapa “mkuu wa vitambulisho vya uzanzibar Mohamed Juma Ame anasema waliokosa haki ya kujiandikisha wato hawana sifa za uzanzibar kwa hio sio wazanzibar bona watu wa tanga pangani,mafya na wamasai wa kiwengwa wote wamepata kuandikiswa hiwe nyie tu?”

Matangazo ndani ya MZALENDO.NET


Katika kampeni ya kutunisha mfuko wa maendeleo wa MZALENDO, tunatoa nafasi ya company au hata individuals kujitangaza kwenye mtandao wetu.Malipo ya matangazo hayo yanakwenda moja kwa moja kwenye mfuko wa Foundation yetu, hii ni kutokana na kuwa MZALENDO si mtandao wa kibiashara au profit making business in other terms.

Kwa sasa tuna moderate traffic ya around ~1500 visits per day katika blog yetu ya MZALENDO.NET.Tunaweza kupatieni detailed statistics za mtandao huo, ili mupate clear view ni watembeleaji wa namna gani tunaowazungumzia hapa.

Kama mutapendelea kujitangaza, tunaweza wapatieni nafasi ya kuweka banner kwenye sidebars.

Sidebar Specs

[...]Endelea hapa “Matangazo ndani ya MZALENDO.NET”

Sikiliza mahojiano baina ya Christopher Buke na Christopher Mtikila

Christopher Mtikila atangaza kuwania mgombea binafsi wa Urais Tanzania
Nchini Tanzania joto la uchaguzi linazidi kupamba moto wakati ambapo shughuli hiyo inasubiriwa kufanyika ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu.

Wagombea wamekuwa wakijiandaa kwa uchaguzi huo na hata chama kipya cha jamii kimepata usajili wa muda mwanzoni mwa wiki hii. Kwa upande mwengine, suala la kuruhusiwa mgombea binafsi kushiriki katika uchaguzi mkuu bado linaendelea kuzusha mitazamo tofauti. Kutokana na hilo, Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia, Christopher Mtikila, ametangaza kuwa hata chama chake kisipomteua kuwawakilisha katika uchaguzi, yeye atawania wadhifa wa rais kama mgombea binafsi. Atafanikiwa? Mwandishi wetu wa Dar es salaam, Christopher Buke, alikutana na Christopher Mtikila na

[...]Endelea hapa “Sikiliza mahojiano baina ya Christopher Buke na Christopher Mtikila”

Wananchi wakerwa kucheleweshewa umeme

Waziri wa Maji, Nishati na Ardhi, Mansour Yussuf Himid.

Waziri wa Maji, Ujenzi, Nishati na Ardhi, Mansour Yussuf Himid, ametakiwa kujiuzulu, kufuatia Zanzibar kukosa umeme kwa miezi mitatu na kuathiri sekta za kiuchumi na kijamii.

Baadhi ya wananchi katika Manispaa ya Zanzibar walisema wakati umefika kwa kiongozi mwenye dhamana kuchukua hatua ya kujiuzulu kutokana na athari zinazoendelea kujitokeza.

Seif Alhaj Mmanga (55), ,mkaazi wa Chuini, alisema viongozi wenye dhamana wakubali kuwajibika kutokana na hasara iliyopatikana tangu kukosekana kwa huduma hiyo.

Alisema tangu kukosekana kwa huduma ya umeme kumekwamisha

[...]Endelea hapa “Wananchi wakerwa kucheleweshewa umeme”

JINAMIZI LA VITAMBULISHO LAMGEUKIA KARUME

Ama Kweli kitu amani ccm hawakijuwi wala hawana Harufu nasho nisawa na kumpigia mbuzi gita.wao wanazani wamemlahai Malim Seif ? Lakini wamejilahai wenyewe Seif Nikiumbe kama viumbe wengine na heshima yake inazidi kukuwa kwa vile ukweli uko wazi na M/mungu Hawafishi wanafiki. Seif roho yake ni moja lakini hili limewarudisha tena wazanzibar kule kule Nyuma sque 1. Lakini wazanzibar ni watu wenye imani ya dini na ustahamilivu katika misingi ya Dini ndio ukaona hata ktk shida za umeme kipindi shote hishi wamekuwa wastahamilivu sana hakuna Nchi hata moja duniani wangeweza kuwa wakimya bila maffa kutokea ispokuwa wazanzibar mali zimeasirika,joto kiza yote hayo wamekuwa wavumilivu lakini ujuwe

[...]Endelea hapa “JINAMIZI LA VITAMBULISHO LAMGEUKIA KARUME”

CUF yaanza kulalamikia uandikishaji wapigakura

Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Salim Kassim Ally.

Chama Cha Wananchi CUF, kimesema kuna idadi kubwa ya wananchi wamekwama jana kuandikishwa katika daftari la wapigakura kutokana na kukosa vitambulisho vya Uzanzibari Mkaazi.

Katika zoezi la awali, wanachama wa CUF walisusia zoezi la uandikishaji kwa madai ya kuwepo kwa urasimu kabla ya kurejea tena baada ya kufikiwa maridhiano baina ya Rais Amani Abeid Karume na Maalim Seif.

Mkurugenzi wa Uenezi na Mawasiliano ya Umma Salum Bimani, alisema wananchi hao

[...]Endelea hapa “CUF yaanza kulalamikia uandikishaji wapigakura”

‘Maamuzi ya NEC ni ya mwisho’

Sadick Mtulya

SERIKALI imesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) ina maamuzi ya mwisho kuhusu mahala ambako zitachapishwa karatasi za kupigia kura kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba.

Kauli hiyo, inaondoa utata ilioibuka kuhusu mahala zitakapochapiwa karatasi hizo.

Akizungumza na gazeti hili juzi katika mahojiano maalumu jijini Dar es Salaam, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Uratibu na Bunge) Philip Marmo alisema kwa mujibu wa sheria nchini, Nec ilipewa mamlaka ya kuratibu mchakato mzima wa masuala ya uchaguzi, ikiwemo utengenezaji na uchapaji wa karatasi hizo.

“Nec ndio yenye uamuzi wa mwisho wa kujua mahala zitakapochapwa karatasi kwa ajili ya kupigia kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu,”alisema Marmo.

Marmo

[...]Endelea hapa “‘Maamuzi ya NEC ni ya mwisho’”

Page 1 of 212