Login



Fotos

Get the Flash Player to see the slideshow.

Manjonjo ya Janjaweed – II

click to enlarge

[...]Endelea hapa “Manjonjo ya Janjaweed – II”

Wazanzibari wapewe haki ya kupiga kura

ZEC

Salim Said Salim

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imeanzisha zoezi unaloweza kusema halina kichwa wala miguu na mantiki ya kuwepo kwake haionekani.

Hili ni zoezi la kuorodhesha watu wenye shahada za zamani za kupiga kura, lakini hawajapata vitambulisho vya Mzanzibari Mkaazi ambavyo ndiyo kigezo cha mtu kuandikishwa katika daftari la kudumu la wapiga kura.

ZEC imewataka watu waliokosa vitambulisho kujiandikisha majina yao katika maeneno mbali mbali ya kila wilaya ya Unguja na Pemba ambapo zoezi hili litafanyika. Tangazo la kufanyika zoezi hili linatolewa sambamba na matangazo ya mara kwa mara kwenye gazeti la serikali la Zanzibar

[...]Endelea hapa “Wazanzibari wapewe haki ya kupiga kura”

International airport ya znz inaingiza kiasi gani kwa siku foreign currency?


International airport ya znz inaingiza kiasi gani kwa siku foreign currency?
wazanzibar wana mengi ya kuiuliza serekali yao ya SMZ mambo yanavyo kwenda shagala bagala. kwa nini? Airport ya mkoa Kilimanjaro na Tanga inaingiza mamilioni ya pesa za kigeni kwa siku lakini zanzibar pangu pakavu wakati zanzibar ni Nchi na ni Kisiwa cha kitalii na kina sifa zote Dunia mzima katika visiwa pora na zanzibarimo kwa manzari nzuri,fukwe mzuri za bahari,hali ya hewa mzuri,ardhi nzuri na hata watu wake ni watu wakarimu sana na peace kwa ujambazi na criminal katika visiwa vingi ulimwenguni.

Why zanzibar

[...]Endelea hapa “International airport ya znz inaingiza kiasi gani kwa siku foreign currency?”

Ujumbe kwa Ezekiel Kamwaga-ukome kuivunjia heshima Zanzibar

Naomba kutoa ujumbe kwa waandishi kutoka bara kuwa waache kutuvunjia heshima taifa letu la Zanzibar.Katika makala iliyotoka na Mwanahalisi yenye kichwa cha habari “Kwa nini sikubaliani na Synovate” katika kiungo hiki.

Tunapata maandishi yafuatayo:

Kwa mujibu wa wenyewe Synovate, utafiti huo ulifanyika katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Mbeya, Kagera, Dar es Salaam, Kigoma, Zanzibar, Tanga, Morogoro na Tabora.

Hapo Zanzibar si mkoa na tunaomba watanganyika muache mara moja kashifa hizi na zinazofanana na

[...]Endelea hapa “Ujumbe kwa Ezekiel Kamwaga-ukome kuivunjia heshima Zanzibar”

Z’bar economy grows 4 times

Zanzibar economy has expanded over four times under President Amani Abeid Karume, with the generation of wealth increasing from Sh189.5 billion eight years ago to nearly Sh739 billion, The Citizen can report.

However, official figures obtained by this paper show, that despite the impressive gross domestic (GDP) performance, a majority of the Islanders are still poor, with 16 per cent of the rural dwellers living below the food poverty line.

The government says that had it not been for the global recession, the size of the

Life expectancy jumped to nearly 60 years in 2008, from 56 years in 2003
economy would stand at more than Sh1 trillion when

[...]Endelea hapa “Z’bar economy grows 4 times”

CCM kinara wa rushwa

CCM

Yahya Charahani

WAKATI vita dhidi ya ufisadi ikionekana kupoteza mwelekeo, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho kinachoongoza kwa rushwa nchini, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru).

Matokeo ya utafiti huo, unaojulikana kama ‘Mapambano ya Rushwa kwenye Serikali za Mitaa’ ambazo unalenga ngazi za vitongoji, vijiji, mitaa na kata’, yalitangazwa jana jijini Dar es Salaam na mtafiti kiongozi wa jopo la utafiti, Profesa Suleyman Ngware wa Taasisi ya Taaluma na Maendeleo ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (IDS).

Watafiti wengine waliokuwapo katika

[...]Endelea hapa “CCM kinara wa rushwa”

Kwa mwenye kutafuta utajiri kukinai inatosha


Kwa mwenye kutafuta utajiri kukinai inatosha, imani na tamaa za maisha zimesababicha hata polisi znz kupokea rushwa hazarani na kama huna utatiswa au kufunguliwa kesi za kubambikizwa(bandia) hii ndio kazi sasa ya kutafuta kijio kwa njia ya vitisho. which direction zanzibar inaelekzwa na viongozi wa smz?

Democras,human right, vyote hivyo kwa zanzibar ni hatisi za Ali Nasha. imani zanzibar imetokweka ulahai na uongo umetanda sifa yote ya zanzibar na wazanzibar bure hali ni mbaya turudi haraka tuliko toka Nchi au wananchi wakiondosha imani basi tutakuwa tunaishi kama wanyama na mtu anaweza kufaya chochote kile

[...]Endelea hapa “Kwa mwenye kutafuta utajiri kukinai inatosha”

Kukitokea umwagaji damu, wa kulaumiwa ni ZEC

Wazanzibari kama kutatokea umwagaji wa damu znz basi jukumu watabeba wakuu wa tume na vitambulisho hususani  huyu Mohammed Juma ame  usalama mamluki.

Zanzibar hali ni tete. Msh Amani kuwa mungwana wa kweli ili kuinusuru zanzibar na umwagaji wa damu usitoke ondosha (mess)watu kama Ame na wakuu zec uwezo unao wewe ndio kiongozi wa Nchi. kama hukufanya hivyo basi toba yako zidi ya wazanzibar itakuwa ni bure na utaonekana Mnafik na utatoka katika BAD kwenda kwenye WORST.

Iikiwa unaona hawa watu hawakuskilizi wewe itakuwa wanaskiliza upande wa pili kwa hio unahaki ya kuwa wajibicha mara moja na

[...]Endelea hapa “Kukitokea umwagaji damu, wa kulaumiwa ni ZEC”

Zanzibar election analysis 2005 - Do we see changes in the coming election 2010?!

“The multiparty democracy in Tanzania is facing a fourth trial in October 2010. That is when the general elections will be held throughout the country for the fourth time since the introduction of multiparty democracy in 1992. Special elections will be held in the semi-autonomous islands of Zanzibar where the voters will elect the Zanzibar president and the members of the House of Representatives. It is these elections that have attracted a lot of attention within and outside the country following the dismal failure of the previous elections held in 1995, 2000 and 2005. The report below from UNPO gives us insight of what happened before

[...]Endelea hapa “Zanzibar election analysis 2005 – Do we see changes in the coming election 2010?!”

United Republic of Zanzibar!

Lusekelo Adamu
I first thought that the on-going blah blahing between politicians of the different sides of the political divide in Mainland and Zanzibar would go away. It was too petty to warrant any attention. But, as you know, politicians love attention. They have made it an issue. I haven’t. I find it too silly, to be given such attention.

All I know is if some politicians in the islands want out they should be given that opportunity. Let’s ask the people of the Zanzibar and Pemba sister islands. Over the years, I have had no problems with unions, especially with my chicks. If they want out,

[...]Endelea hapa “United Republic of Zanzibar!”

Page 1 of 212