Login



Fotos

Get the Flash Player to see the slideshow.

Migawanyo

Kumbukumbu

Zanzibaris accept unity government

FINAL results from the referendum passed through the ballot box on Saturday have revealed that 66 per cent of the 293,039 Zanzibaris voted in favour of the proposed Government of National Unity (GNU) here.

Announcing the results on Sunday at Salama Bwani Hotel, the Chairman of Zanzibar Electoral Commission, Mr Khatib Mwinyi Chande, said that a total of 188,705 people cast the ‘yes’ vote while 95,613 voters opposed.

“May I announce that the citizens who voted in favour of the government proposal have won,” he said. However, the chairman said that out of the 407,669 people who registered for the poll, only 293,039 cast their votes.

He also praised

[...]Endelea hapa “Zanzibaris accept unity government”

RAISI WA ZANZIBAR MTARAJIWA AKIWA NA MAKAMO WAKE WA PILI

[...]Endelea hapa “RAISI WA ZANZIBAR MTARAJIWA AKIWA NA MAKAMO WAKE WA PILI”

Shangwe kwa wazanzibari

Wazanzibari wakubali kuundwa kwa serikali ya Umoja wa Kitaifa

Ni shangwe na nderemo kwa wale waliounga mkono mageuzi ya katiba yatakayowezesha kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 31 mwaka huu.
Wazanzibari wamekubali kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa kufuatia matokeo ya kura ya maoni yaliyotangazwa leo na Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar katika hafla iliyohudhuiriwa na wadau mbalimbali wakiwemo mabalozi wa nchi za nje na vyama vya siasa mjini Zanzibar.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Bw. Khatib Mwinyichande, kura ya ndio imeongoza kwa asilimia 66.4 huku kura ya hapana ikipata asilimia 33.6. kati

[...]Endelea hapa “Shangwe kwa wazanzibari”

PRESS RELEASE

Press Release

Date: 01 August 2010

Norwegian Minister:
- Congratulations on a peaceful and well organised Referendum

- I congratulate the people of Zanzibar and their political leaders with a peaceful conduct of the referendum. The people have spoken, and we support their decision to unite in building a new Zanzibar, says Mr Erik Solheim, Norwegian Minister of the Environment and International Development.

- I would like to commend all parties responsible for organising the referendum on 31st July. The people of Zanzibar have spoken and their voice is clear. They stand ready to overcome the difficulties of the past and to forge unity for Zanzibar’s future.

[...]Endelea hapa “PRESS RELEASE”

Kutokana na mafanikio ya muafaka na kampeni za kistarabu kumejitokeza wakombania wapya ktk nafasi za Ubunge na uwakilishi.

Hali ya utulivu na makubaliano ya Muafaka imesababisha wakombania wengi wa nafasi za Ubunge na Uwakilishi wajitokeze kwa wingi ili kukamata nafasi za Ubunge na Uwakilishi. Hii imekuja kutokana na Utulivu na siasa za kistarabu ktk kambeni za kuelekea ushaguzi mkuu wa 2010. hali hii imewasababisha wagombea wakongwe kuwa na hofu kubwa ya kuyakosa majimbo yao.kama sera zako ni mbovu basi wananchi wanaweza kukupiga nyundo ya Kichwa ktk

[...]Endelea hapa “Kutokana na mafanikio ya muafaka na kampeni za kistarabu kumejitokeza wakombania wapya ktk nafasi za Ubunge na uwakilishi.”

Picha:Sherehe zinavyoendelea Zanzibar baada ya NDIO

[...]Endelea hapa “Picha:Sherehe zinavyoendelea Zanzibar baada ya NDIO”

Waangalizi:Ripoti ya JUMAZA

JUMAZA OBSERVER GROUP

RIPOTI YA AWALI

Utangulizi

JUMAZA OBSERVER GROUP ni miongoni mwa Waangalizi wa Ndani walioshiriki kufuatilia Kura ya Maoni iliyofanyika Zanzibar tarehe 31, Julai 2010 kwa kusambaza waangalizi katika majimbo yote 50 ya uchaguzi.

Tulifuatilia hatua zote za Kura ya Maoni ikiwemo matayarisho, elimu ya wapiga kura na kampeni, upigaji wa kura, kuhesabu na utangazaji wa matokeo.

Uandikishaji

Hakukuwa na zoezi jipya la uandikishaji kwa wapiga Kura ya Maoni bali wapiga kura waliosajiliwa katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2010 walithibitishwa kuwa ni wapiga

[...]Endelea hapa “Waangalizi:Ripoti ya JUMAZA”

Sauti:Repoti za DW Swahili – Kura ya maoni

Sikiliza repoti hizo zikiripotiwa na Salma Said:

Maoni ya Wananchi mbali

[...]Endelea hapa “Sauti:Repoti za DW Swahili – Kura ya maoni”

Ushindi wa NDIO kwa assilimia 66.4% Sio ushindi wa Cuf wala Ccm ni ushindi wa Wazanzibar wote kwa ujumla.

Tunapenda kutowa shukurani  zetu za Zati kwa ndugu zetu waliopata fursa ya kupiga kura wote walio piga Ndio na Wale Wazanzibar waliopata fursa ya Kupiga HAPANA hii yote ni democrasia ya mtu na mamuzi yake.

Na huu ushindi wa NDIO sio ushindi wa CUF wala CCM, huu ni Ushindi wa Wazanzibar wote nje na ndani wanao iombea mema na Amani ya nchi yao. kwa muda wa kipindi kirefu ktk wakati mgumu kama huu Zanzibar ilikuwa imekabiliwa na mambo mengi yakutia huzuni na mashaka ktk jamii ya kizanzibar. lakini kwa rehma za M/mungu nikipindi kifupi tu wazanzibar tulianza kula madunda ya amani na utulivu wa nchi yetu Zanzibar.

[...]Endelea hapa “Ushindi wa NDIO kwa assilimia 66.4% Sio ushindi wa Cuf wala Ccm ni ushindi wa Wazanzibar wote kwa ujumla.”

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Zanzibar For Democracy inawapongeza Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Dr. Amani Abeid Karume na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad kwa kuwaongoza wananchi wa Zanzibar katika zoezi la kura ya maoni ambalo limefungua ukurasa mpya katika historia ya nchi yetu. Sisi tunaitafsiri kura ya NDIYO kutoka kwa wazanzibari kuwa ni kielelezo halisi cha kukubalika kwa vitendo uamuzi uliofikiwa tarehe 5 Novemba 2009.

Tunaamini kuwa uamuzi huo uliotolewa na wananchi tarehe 31 Julai, 2010 utakuwa ni kichocheo cha kukuza, kuendeleza, na kuimarisha amani, mshikamano na kufungua milango zaidi ya maendeleo na kuipeleka Zanzibar katika Demokrasia ya kweli itakayowapa wananchi kuwa na mamlaka, maamuzi na kushiriki

[...]Endelea hapa “TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI”

Page 1 of 212