All posts by Mrfroasty (Ufundi)

Mtihani mwingine Zanzibar
22/02/2012, No Comments

Na Salim Said Salim MAMIA ya vijana wa Zanzibar waliofanya mtihani wa kidato cha nne wanakabiliwa na mtihani mwingine, t ...

Miaka zaidi ya kumi tokea hotuba hii itolewe – Muungano ni kero ?
21/02/2012, 1 Comment

MAELEZO VA MHESHIMIWA MAKAMU WA RAIS DKT. 0. A. JUMA, KATIKA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WA TANZANIA WALIOKO NCHI ZA NJE, KUH ...

katiba
Katiba tuitakayo – Kwa nini tuujadili muungano (2)
20/02/2012, 2 Comments

KATIBA TUITAKAYO KITABU 2 KWA NINI TUUJADILI MUUNGANO

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mradi wa (MKUAJI) katika shehia ya Mtoni Kidatu, Wilaya ya Magharibi Unguja. Kushoto kwake ni Mwakilishi wa Jimbo hilo Nassor Ahmed Mazrui
Siasa sio mradi wa biashara- Maalim Seif
20/02/2012, 7 Comments

Salma Said, MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema siasa sio uwanja wa biashara bali ni ...

Aziza Mohammed mwanafunzi aliyeathirika kufutiwa matokeo yake ya mtihani wa kidatu cha nne aliacha simanzi kubwa ukumbini baada ya kueleza masikitoko yake ya kufutiwa mitihani na kuelezea jeshi la polisi lilivyowanyanyasa wakati wlaipopanga kuandamana kupinga matokeo hayo ambapo licha ya kupata kibali cha maandamano lakini jeshi la polisi liliingilia kati na kuwatawanya kwa kuwarushia mabomu ya machozi na kuwanyanyasa huku wengine wakipigwa na kutupwa katika gari la polisi hivi karibuni, lakini Aziza aliwalaumu wazazi wa wanafunzi hao ambao walishindwa kuwaunga mkono watoto wao katika hilo pamoja na kuwalaumu waandishi wa habari kwa kushinda kuwapa coverage katika tukio hilo
Kongamano la kutathmini matokeo ya elimu, mwanafunzi awaliza wazazi
19/02/2012, 9 Comments

Salma Said, BAADHI ya wazazi ambao watoto wao wamefutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne visiwani Zanzibar wanakus ...

Zanzibar MPs protest Tanzania bid for more sea
19/02/2012, 1 Comment

anzania’s plan to seek an extension of continental shelf outside the Exclusive Economic Zone (EEZ) is facing renewed r ...

Annur:Toleo la Februari 17-23
19/02/2012, No Comments

Annur teoleo la FEBRUARI 17 -23, 2012