All posts in DIRA

Machapisho ya gazeti la DIRA, ambalo lilifungiwa kutokana na vita vya SMZ dhidi ya vyombo vya habari

Tumewacha yetu … tumevamia ya watu
29/10/2009, Zima maoni

Na Ben Wazir Nataka kubariz katika maudhui yanayohusu utamaduni, mila na desturi zetu, mambo ambayo yanaonekana sio kwam ...

Nnahum Lamukyadhibuun! Kazi yao kukanusha tu!
29/10/2009, Zima maoni

Na Mohammed Ghassany Waziri Burhan Saadat Haji Si vibaya ikiwa tutadokoa kidogo katika fani ya wenyewe. Katika Falsafa k ...

Bwana Msa na urafiki wa magari
29/10/2009, Zima maoni

Na Muhammed Said Abdallah Bwana Msa alikuwa kasimama dirishani, anachungulia. Nje, gari ndogo imesimama mlangoni kwa jir ...

Zanzibar bila Dira
29/10/2009, Zima maoni

Na Ali N. Sultan WAZANZIBARI wameshazoea kusoma gazeti la Dira kila Ijumaa kuanzia saa 4.00 asubuhi, takriban kwa mwaka ...

Mipango ya wayahudi dhidi ya uislamu Zanzibar
29/10/2009, Zima maoni

Na Ali Nabwa HIVI sasa ulimwengu unaadhimisha mwaka mmoja wa maafa ya Tsunami, maafa ambayo Chama Cha Mapinduzi,CCM,kili ...

Zanzibar na biashara ya utumwa
29/10/2009, 2 Comments

Na J. Hussein HISTORIA ya Zanzibar kwa kiasi kikubwa imehusishwa na biashara ya utumwa. Bahati mbaya ni kwamba wengi wa ...

Mchanga wa Kisiwandui -II
29/10/2009, Zima maoni

Na Ali Nabwa MCHANGA wa Kisiwandui ulitanda kuanzia kwa Ali Ahmed Riyami (Ami yake Salim Ahmed) kwenye ‘corner’ kuen ...