Msanii:
[...]Endelea hapa “Mimi nitapiga NDIO, wewe jee?”
|
|
||||
LoginFotos
Get the Flash Player to see the slideshow.
Habari MpyaMaoni Mapya
Migawanyo
Kumbukumbu |
Msanii: Julai 26, 2010 | Gawanyo Burudani | Acha maoni
Wazalendo nachukua nafasi kuwakumbusha mchango wa msanii wetu maarufu Maalim Seif Salim. Miaka kadhaa katika uhai wake alikuwa mstari wa mbele kuhimiza jamii ya Kizanzibar kujiletea umoja na mshikamano. Hivyo katika wakati huu ambapo Wazanzibar wamo kwenye shamrashamra za kuelekea kwenye kupiga kura ya maoni, nimeonelea ipo haja ya kuyakumbuka maneno ya Maalim Seif aliyoyatoa kwenye nyimbo yake hii. Endelea [...]Endelea hapa “Maalim Seif Salim Akumbukwe” Hapa nilipo umeme na maji uwa hayakatiki, hamna vumbi wala harufu ya dampo. Wapi kwingine kwenye sifa kama izo kama sio Ulaya? Naona nazidi kukuchanganya acha nikulaisishie niko UBALOZI wa MAREKANI. Nikikuambia nina bahati huezi kunielewa mpaka uone umati wa watu nje. Wote wamekatwa bogi wameambiwa wajaribu siku nyingine. Niko kamili na mabegi yangu mgongoni. Yani wakinigongea viza tu nawahi uwanja wa ndege. Wazo la kwenda kutalii nje limenijia jana tu na ghafla nikajiuliza ikiwa wazungu wanakuja afrika kutalii kwa nini na sisi hatuendi kwao kutalii? Unaambiwa swali lilinisumbua mpaka ninamua leo nidamkie hapa ubalozini. Unajua hakuna hata mswahili mmoja anayekwenda sijui Serengeti, sijui manyara au mikumi [...]Endelea hapa “NIMEONA NIWABURUDISHE KIDOGO VICHWA VIMEJAA SIASA ( MTALII KUTOKA BONGO” Citizen Reporter In their letter to Sunday Citizen yesterday GSB, through their official Branson Garry, said the termination had been in the best interests of involved parties, including the government. After careful analysis, he said, GSB decided to terminate [...]Endelea hapa “GSB nullifies contract for Zanzibar coach” Julai 21, 2010 | Gawanyo Michezo | Maoni moja
HADITHI FUPI KUHUSU
Zanabora ni msichana mrembo aliyeumbika, sio kwa maumbile na umbo lake tu, bali pia kwa tabia, ustaarabu, kipaji cha elimu na maarifa. Mvulana yeyote aliyemtupia jicho basi alidiriki kutazama mara mbili bila ya kupepesa. Yasemekana kwenye miaka ya kale, aliwahi kuolewa na Bw. Karafuu. Hata hivyo, ndoa hii ilivunjika kutokana na Zanabora kutotendewa haki na Bw. Karafuu. Hii ni kwa sababu ya maarifa ya biashara alizokuwa akimpatia Bw. Karafuu bila ya kupata mtaji mzuri wa maendeleo. Bw. Karafuu hakuwa na la kufanya isipokuwa ni kumpatia talaka yake na akaolewa na Bw. Mzalendo. Zanabora kwa hakika alijiona amefika kwa [...]Endelea hapa “Hadithi: Zanabora” Julai 16, 2010 | Gawanyo Burudani | Maoni moja
Doris Maliyaga TIMU ya Mjini Magharibi imefanikiwa kusonga mbele kwa nusu fainali ya michuano ya vijana ya U-17 Copa Coca Cola, baada ya kuichapa Mara kwa mabao 2-1 kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Mabingwa hao watetezi walipata bao la kwanza dakika ya 10, lililofungwa na Ally Mohamed kwa shuti baada ya kupokea pasi nzuri ya Rashidi Rashid kufanya matokeo kuwa 1-0 hadi mapumziko. Mara waliamka kipindi cha pili na kupata bao la kusawazisha dakika 60, lililofungwa na William Wambura aliyempiga chenga kipa, kabla ya Mohamed kufunga bao lake la pili kwa Mjini Magharibi zikiwa zimebakia dakika tatu kufanya matokeo kuwa 2-1. [...]Endelea hapa “Magharibi yaichapa Mara 2-1, TMK, Pemba Kusini leo” Julai 5, 2010 | Gawanyo Michezo | Maoni moja
The guardian reporter Hall, whose earlier bid to coach the Tanzania national soccer team, Taifa Stars, collapsed in May, will be responsible for the Zanzibar national soccer team, The Heroes. ZFA president Ali Fereji Tamim said Hall will be assisted by home-based coaching duo of Hemed Morocco and Ally Kidi. Cash-strapped ZFA has teamed up with Future Century and Global Scouting Beural (GSB) firms to meet the remuneration package of the Englishman. Hall becomes the first Englishman to take responsibility of coaching Zanzibar Heroes who are only featuring in annual East and central African [...]Endelea hapa “English coach signs 5-year deal in Z`bar” Mohamed Akida MABINGWA wa tetezi wa michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya Copa Coka-Cola, Mjini Magharibi jana imeifunga Kagerza, mabao 5-1 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Katika mchezo huo, ilishuhudiwa Mjini Magharibi ikienda mapunziko ikiwa inaongoza kwa mabao 3-0, yaliofungwa dakika za mwanzoni mwanzoni. Mjini Magharibi waliendelea kuliskama lango la wapinzani wao na dakika ya 28, iliandika bao la tatu kwa penati na Marithi Haji, baada ya Omari Abadalaah kuangushwa [...]Endelea hapa “Mjini Magharibi yafanya kweli Copa Co-Cola” Juni 24, 2010 | Gawanyo Michezo | Maoni yamefugwa
Mabingwa mara tano wa dunia Brazil wameifunga Tanzania mabao 5-1 katika mechi yao ya mwisho ya kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa fainali za kombe la dunia huko Afrika Kusini wiki hii. Katika mchezo huo uliyochezwa jijini Dra es Salaam na kuonesha katika nchi takriban zote duniani, Brazil ilipata mabao yake kupitia kwa Robinho na Ramires waliyopachika mabao mawili kila mmoja, huku Kaka akifunga moja.Bao hilo la Kaka ni la kwanza kufunga akiwa na timu hiyo katika kipindi cha takriban mwaka mmoja. Hiyo ni mechi ya kwanza kubwa kwa Tanzania, ambayo imecheza siku moja tu babada ya kutolewa na Rwanda katika michuano ya kuwania nafasi ya kucheza katika [...]Endelea hapa “Brazil yaifunga Tanzania mabao 5-1″ brazil walipofika south africa may 27 Na Ally Saleh, Utafiti zaidi kuhusu ujio wa Brazil nchini Tanzania unaonyesha kuwa hapakuwa na mpango kabisa wa kuipata nchi hiyo kuja kucheza Dar es salaam.Taarifa zinaonyesha kuwa Tanzania ilikuwa zaidi na mpango na Algeria na Nigeria na sio na Brazil lakini pia ikaelezwa kuwa timu hizo na karibu nyengine zote zikasema hazitaweza kuja Tanzania. Hiyo ilikuwa ni mpaka kufikia siku 33 kabla ya kuanza Kombe la Dunia.Lakini zikiwa zimebakia siku chache mno tukaarifiwa Brazil inakuja.Lakini pia taarifa hizo zilitoka wakati Brazil wakiingia Afrika Kusini [...]Endelea hapa “Brazil wanakuja tutafaidika nini kisoka?” |
Who's Online57 visitors online now Je unakubali kuwepo kwa muundo mpya wa serikali mara baada ya uchaguzi mkuu wa 2010?
Total Voters: 1.617 ViungoTagiATM
Burudani
CCM
DIRA
elimu
EPA
gnu
Habari za CUF
historia
kadhi
katuni
Kitaifa
kura ya maoni
mafuta
Maoni Mapya
mapinduzi
mardhiano
maridhiano
matokeo
mazingira
mramba
msaada
mseto
muungano
muwaza
necta
OIC
oil
scholarship
shairi
Siasa
smz
suk
tangazo
twitter
uchaguzi
Uchumi
ufisadi
ukimwi
umeme
Vidio
WARAKA KUTOKA ZANZIBAR
zanzibar
zec
ZFA
|
||
|
Haki zote zimehifadhiwa © 2010 MZALENDO.NET |
||||
Habari maarufu