|
|
Citizen Reporter
Zanzibar has to start afresh and find a new coach after the newly recruited Briton, Stewart Hall, was forced to terminate his contract for technical reasons.
The coach was hired in a joint agreement between Global Scouting Bureau (GSB) and a Tanzanian firm, Future Century Limited.
In their letter to Sunday Citizen yesterday GSB, through their official Branson Garry, said the termination had been in the best interests of involved parties, including the government.
“There was a memorandum of understanding between GSB of the US and Future Century Limited, a Tanzanian firm,” he said.
After careful analysis, he said, GSB decided to terminate
[...]Endelea hapa “GSB nullifies contract for Zanzibar coach”
Doris Maliyaga
TIMU ya Mjini Magharibi imefanikiwa kusonga mbele kwa nusu fainali ya michuano ya vijana ya U-17 Copa Coca Cola, baada ya kuichapa Mara kwa mabao 2-1 kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mabingwa hao watetezi walipata bao la kwanza dakika ya 10, lililofungwa na Ally Mohamed kwa shuti baada ya kupokea pasi nzuri ya Rashidi Rashid kufanya matokeo kuwa 1-0 hadi mapumziko.
Mara waliamka kipindi cha pili na kupata bao la kusawazisha dakika 60, lililofungwa na William Wambura aliyempiga chenga kipa, kabla ya Mohamed kufunga bao lake la pili kwa Mjini Magharibi zikiwa zimebakia dakika tatu kufanya matokeo kuwa 2-1.
Mechi
[...]Endelea hapa “Magharibi yaichapa Mara 2-1, TMK, Pemba Kusini leo”
The guardian reporter
Zanzibar Football Association, ZFA, has signed a five-year deal with English coach Stewart John Hall here yesterday.
Hall, whose earlier bid to coach the Tanzania national soccer team, Taifa Stars, collapsed in May, will be responsible for the Zanzibar national soccer team, The Heroes.
ZFA president Ali Fereji Tamim said Hall will be assisted by home-based coaching duo of Hemed Morocco and Ally Kidi.
Cash-strapped ZFA has teamed up with
Future Century and Global Scouting Beural (GSB) firms to meet the remuneration package of the Englishman.
Hall becomes the first Englishman to take responsibility of coaching Zanzibar Heroes who are only featuring in annual East and central African
[...]Endelea hapa “English coach signs 5-year deal in Z`bar”
Mohamed Akida
MABINGWA wa tetezi wa michuano ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ya Copa Coka-Cola, Mjini Magharibi jana imeifunga Kagerza, mabao 5-1 katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam.
Katika mchezo huo, ilishuhudiwa Mjini Magharibi ikienda mapunziko ikiwa inaongoza kwa mabao 3-0, yaliofungwa dakika za mwanzoni mwanzoni.
Mchezaji Ally Khalifan aliifungia, Mjini Magharibi bao la kwanza dakika ya 16, kabla ya Rashid Rashid kupachika la pili dakika ya 20 kwa shuti lililomshinda kipa wa Kagera, David Mshukanabo.
Mjini Magharibi waliendelea kuliskama lango la wapinzani wao na dakika ya 28, iliandika bao la tatu kwa penati na Marithi Haji, baada ya Omari Abadalaah kuangushwa
[...]Endelea hapa “Mjini Magharibi yafanya kweli Copa Co-Cola”
Mabingwa mara tano wa dunia Brazil wameifunga Tanzania mabao 5-1 katika mechi yao ya mwisho ya kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa fainali za kombe la dunia huko Afrika Kusini wiki hii.
Katika mchezo huo uliyochezwa jijini Dra es Salaam na kuonesha katika nchi takriban zote duniani, Brazil ilipata mabao yake kupitia kwa Robinho na Ramires waliyopachika mabao mawili kila mmoja, huku Kaka akifunga moja.Bao hilo la Kaka ni la kwanza kufunga akiwa na timu hiyo katika kipindi cha takriban mwaka mmoja.
Hiyo ni mechi ya kwanza kubwa kwa Tanzania, ambayo imecheza siku moja tu babada ya kutolewa na Rwanda katika michuano ya kuwania nafasi ya kucheza katika
[...]Endelea hapa “Brazil yaifunga Tanzania mabao 5-1″
brazil walipofika south africa may 27
Na Ally Saleh,
Utafiti zaidi kuhusu ujio wa Brazil nchini Tanzania unaonyesha kuwa hapakuwa na mpango kabisa wa kuipata nchi hiyo kuja kucheza Dar es salaam.Taarifa zinaonyesha kuwa Tanzania ilikuwa zaidi na mpango na Algeria na Nigeria na sio na Brazil lakini pia ikaelezwa kuwa timu hizo na karibu nyengine zote zikasema hazitaweza kuja Tanzania.
Hiyo ilikuwa ni mpaka kufikia siku 33 kabla ya kuanza Kombe la Dunia.Lakini zikiwa zimebakia siku chache mno tukaarifiwa Brazil inakuja.Lakini pia taarifa hizo zilitoka wakati Brazil wakiingia Afrika Kusini
[...]Endelea hapa “Brazil wanakuja tutafaidika nini kisoka?”
Na Ally Saleh,
Brazil inakuja Tanzania na inatarajiwa kucheza na timu ya taifa Taifa Stars katika Uwanja wa Taifa hapo Juni 7 wakati wa usiku. Brazil inapanga kutua Dar es salaam usiku wa Juni 6.
Mipango ya kuja Brazil pengine ni ya muda mrefu, kwa vile Tanzania ilikuwa na kiu ya kujiweka katika jukwaa la kimataifa la soka kwa kutumia fainali za Kombe la Dunia za huko Afrika Kusini.
Inaeleweka Tanzania imeunda kikosi kikubwa cha watu maarufu na wenye fedha ili kutafuta fursa mbali mbali za kuitangaza Tanzania. Katika hilo Tanzania imetengeneza machapisho yenye taarifa za vivutio vya kitalii ambayo yatasambazwa Afrika Kusini kuanzia wakati huu.
Lakini ilikuwa ni kiu
[...]Endelea hapa “Unajua imekwendaje hata Brazil inakuja Tanzania?”
THE Zanzibar Judo national team finished runners up in the just ended East Africa championship in Nairobi, Kenya.
The two-day event that climaxed on Sunday saw the mainland team finishing bottom as hosts Kenya grabbed the first position.
The tournament brought together four countries with 100 athletes vying for top honours. President of the Tanzania Judo Association, Tsuyoshi Shimaoka said today upon arrival from Kenya that the Zanzibar team had 14- players comprising 12 men and two-women.
He said they were awarded four-gold, three-silver and five bronze medals whereas Kombo Masoud Amour was selected the tournament’s best athlete after winning two gold medals in 100kg and open category.
The women
[...]Endelea hapa “Zanzibar shine as mainland flop in EA judo meet”
Na Salma Said
CHAMA Cha Soka Zanzibar (ZFA) kimesema hatua ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ya kuandaa timu ya taifa kwa vijana wenye umri chini ya miaka 20, kwa vijana wa Tanzania bara pekee si ungwana hasa katika wakati huu.
Imeelezwa kwamba kufanya hivyo ni kwenda kinyume na taratibu na kanuni za makubaliano baina ya pande mbili hizo za vyama vya soka kati ya ZFA na TFF zinazochukuliwa kufuatia mzozo uliotokezea mwaka uliopita.
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Soka Zanzibar (ZFA) Maulid Hamad Maulid amesema kuwa kitendo cha Shirikisho hilo wao wamekichukulia ni kama sehemu
[...]Endelea hapa ““TFF sio waungwana” – ZFA”
Doris Maliyaga
PAMOJA na kuendesha Ligi Kuu ya Zanzibar bila ya waudhamini chama cha soka visiwani humo [ZFA] kimesifu mwenendo wa ligi hiyo tangu ilipoanza mwezi uliopita.
Katibu mkuu wa ZFA, Massoud Attai aliliambia Mwananchi jijini jana kuwa ligi hiyo inaendelea vizuri na timu zote ziko katika hali nzuri na wanategemea kumpata bingwa katika hali nzuri kama walivyotarajia.
Alisema: ”Mashindano yanaendelea vizuri bila wasiwasi ni mafanikio kwa kuwa kila kitu kinaenda kama tulivyotarajia, lakini kama wadhamini watajitokeza itakuwa vizuri na tutawajulisha.”
Ligi hiyo inayoendeshwa kwa mtindo wa mzunguko, leo itaingia mzunguko wa tatu kwa timu za Duma kupambana na Konde kwenye Uwanja wa Gombani wakati JKU itacheza na Mundu Uwanja
[...]Endelea hapa “ZFA yasifu mafanikio ya ligi”
Page 1 of 1212345»10...Last »
|
|
Habari maarufu