All posts in Burudani

habari za ulimwengu wa burudani, muziki, filamu, mashairi,michezo

UCHAMBUZI WA SANAA ZA BW HAJI GORA HAJI
19/02/2012, No Comments

Zifuatazo ni sanaa za bwana Haji Gora Haji: 1. Ujue Kosa Lako Hii ni moja kati ya kazi ya kuvutia aliyoitayarisha msanii ...

Kutoka uwanjani Mao Tsetung – Pambano kali linaendelea.
08/02/2012, 3 Comments

Naam wapenzi wasikilizaji jioni hii hapa katika kwainja cha Mao Tsung pambano kati ya time za Supper Falcon kutoka kule ...

Kutoka Kushoto-Mwale-Violet Maila-Ashish  Nagewadia-Kheri-Rosie Carter-Mahsin Basalama
ZANAIR YAIWEZESHA SWAHILI CENTER KUONGEZA USHIRIKI WA PEMBA KATIKA TAMASHA LA BUSARA
30/01/2012, Zima maoni

Taarifa kwa vyombo vya habari Imetolewa kwa pamoja baina ya Swahili Performing Arts Center na ZanAir Ltd. Tarehe: 29 Jan ...

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimvisha nishani kijana Mohd Khamis mwenye ulemavu wa akili baada ya kupata ushindi katika michezo ya Special Olimpik kwa ajili ya watu wenye ulemavu yaliyofanyika Morogoro. Hafla hiyo ilifanyika uwanja wa michezo Gombani Pemba.
Olimpik ya walemavu – Gombani Pemba
14/01/2012, 1 Comment

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad amekabidhi nishani mbali mbali kwa vijana wenye ulemavu wa ...

Coach asks FIFA to recognise Zanzibar
09/12/2011, 3 Comments

Zanzibar’s coach Mohammed Morocco has called for the support of Council of East and Central Africa Football Associatio ...

busara
Tamasha la BUSARA linaakisi utamaduni wa mzanzibari, lilindwe
25/11/2011, 11 Comments

Na Ally Saleh, Wiki iliyopita wengi wetu tuliokuwa katika ukumbi wa mikutano wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort tulipata ...