Login



Fotos

Get the Flash Player to see the slideshow.

Wataalamu wathibitisha wanja ni dawa

Utafiti uliofanywa Ufaransa, unapendekeza kuwa wanja unaopakwa machoni kwa kiwango kikubwa ambao ulitumiwa sana enzi za zamani nchini Misri kama Cleopatra huenda zikawa na faida za kitabibu na urembo.

Cleopatra alikuwa malkia nchini Misri aliyejulikana sana kwa uzuri wake.

Utafiti huo, uliochapishwa katika jarida la Analytical Chemistry, unapendekeza kwamba wanja huo ulisaidia kulinda macho dhidi ya maradhi.

Utafiti huo unaonyesha kuwepo na chembechembe za madini ya risasi katika kipodozi hicho.

Kwa kiwango kidogo sana, chembechembe hizo hutoa gesi ya nitric, inayoongeza nguvu kwenye mfumo wa kingamaradhi ili kupambana na bakteria inayoweza kusababisha athari kwenye

[...]Endelea hapa “Wataalamu wathibitisha wanja ni dawa”

Kiswahili experts install language in computers

The National Swahili Council of Tanzania, BAKITA, has successfully completed installation of the Kiswahili language in the Microsoft computer system under the Local Language Programme (LLP), thus increasing access of information and computer usage in eastern and western Africa.
Bakita Executive Secretary Dr Anna Kishe said in Dar es Salaam yesterday that the move was likely to encourage pupils and students to pursue computer studies, hence cope with the current modern technology.
Dr Kishe said the process was successfully done by Kiswahili language professionals from Tanzania and Kenya. She said with the recently signed East African Community (EAC) protocol on the common market, Kiswahili would play

[...]Endelea hapa “Kiswahili experts install language in computers”

Utapeli,tafadhali usije kubali kuibiwa ukipokea email hii

Your friend, DR. HARRISON MWAKYEMBE (drharrison209@yahoo.com) has sent you this information from Yahoo! (Email address has not been verified.)

Personal message:
ATM INTERNATIONAL CREDIT SETTLEMENT
OFFICE OF THE DIRECTOR OF OPERATION
OFFICE OF THE PRESIDENCY

ATTENTION HONORABLE BENEFICIARY

THIS IS TO OFFICIALLY NOTIFY YOU THAT WE HAVE VERIFIED YOUR CONTRACT INHERITANCE FILE AND FOUND OUT THAT WHY YOU HAVE NOT RECEIVED YOUR PAYMENT IS BECAUSE YOU HAVE NOT FULFILLED THE OBLIGATIONS GIVEN TO YOU IN RESPECT OF YOUR CONTRACT/INHERITANCE PAYMENT.

SECONDLY, WE HAVE BEEN INFORMED THAT YOU ARE STILL DEALING WITH THE NONE OFFICIALS IN THE BANK,ALL YOUR ATTEMPT TO SECURE THE RELEASE OF THE FUND TO YOU.WE WISH TO

[...]Endelea hapa “Utapeli,tafadhali usije kubali kuibiwa ukipokea email hii”

MZALENDO YAANZA KUTUMIA TWITTER

Jina la mzalendo.net kwenye twitter ni
:mzalendonet

Mambo ya teknolojia hayo, unaweza kutuma ujumbe wa twitter moja kwa hadi hapa mzalendo.Ujumbe wote unaokuja kwa kupitia twitter utaona hapo kushoto chini kabisa ni sehemu ya ujumbe

[...]Endelea hapa “MZALENDO YAANZA KUTUMIA TWITTER”

Polisi wafufua kitengo cha kuchunguza uhalifu mtandaoni

JESHI la Polisi limeunda timu ya kuchunguza matukio ya uhalifu kwa njia ya mitandao, simu za mikononi, ATM za mabenki na huduma nyingine za mitandao cha Ant cyber crime Unity ili waweze kubaini watu wanaotumia mitandao hiyo, kinyume na taratibu.

Hatua hiyo, imekuja baada ya kutokea matukio ya wizi katika ATM za benki, wananchi kutumiana ujumbe wa matusi kupitia mtandao na simu za mikononi na kusababisha usumbufu kwa wananchi.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai, (DCI) Robert Manumba alisema matukio hayo, yameibuka nchini hivi karibuni na kusababisha baadhi ya wananchi kupata matatizo.

Alisema wananchi wengi wamekuwa wakitumia mitandao hiyo, kinyume

[...]Endelea hapa “Polisi wafufua kitengo cha kuchunguza uhalifu mtandaoni”

zee utamu akamatwa

Ndg. Malecela Peter Lusinde

Polisi wa Tanzania kwa kushirikiana na Polisi wa Kimataifa (Interpol),wamefanikiwa kumshika Raia mmoja wa Uingereza ambaye ana asili ya Tanzania Ndg Malecela Peter Lusinde (pichani) mwenye umri wa miaka 39 na kutuhumiwa kwa kuundesha mtandao wa Ze Utamu.Ndugu Malecela ambaye anajulikana pia kwa jina la “Male” ni Mtaalamu wa kompyuta na ana uwezo wa kuzungumza na kuandika Kiingereza, kiswahili na kichina ana makazi katika mji wa Essex nchini Uingereza.

Wataalamu wa Idara ya upelelezi kutoka Tanzania wakishirikiana na wenzao wa Uingereza wamefanikiwa kuonana na Ndg Male na kupata ushahidi wa kutosha kwamba ndiye alikuwa

[...]Endelea hapa “zee utamu akamatwa”