MZALENDO.NET » Kitaifa

Waangalizi uchaguzi mkuu – 2010
Na Salma Said,

JUMLA ya waangalizi 7,210 wanatarajiwa kusimamia mwenendo wa uchaguzi mkuu katika maeneo yote ya Tanganyika na Zanzibar unaotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu nchini.

Mratibu wa kamati ya kuangalia uchaguzi Tanzania (TEMCO) Dk Benson Banna aliwaambia waandishi wa habari wakati akizungumza juu ya matayarisho ya uchaguzi mkuu katika ukumbi wa Sauti ya Zanzibar, Rahaleo Mjini Unguja.

Alisema TEMCO itatuma waangalizi 210 ambao ni waangalizi wa muda mrefu na waangalizi 7,000 wakiwa ni wangalizi wa muda mfupi kwenda kuangalia mwenendo wa uchaguzi ambao watapelekwa katika vituo vya kupigia kura vyote nchini.

Mratibu huyo alisema jumla ya vituo 6,650 kwa upande wa tanznaia bara na vituo 700 kwa upande
[...]Endelea hapa "Waangalizi uchaguzi mkuu – 2010"

Wazanzibari kula vyakula vibovu!
Bodi ya chakula na vipodozi inafanya kazi gani hadi vyakula vibovu vinaingia nchini ?

Na Salma Said,

WANANCHI wametakiwa kuwa makini na bidhaa zinazoingizwa nchini ambazo nyingi zimemaliza muda wake hasa katika kipindi hiki cha kukaribia sikukuu baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhani.

Tahadari hiyo imetolewa na wataalamu wa afya baada ya kugundulika kuwa bidhaa nyingi zisizofaa kutumika kwa matumizi ya binaadamu kuingizwa nchini na kutumiwa na wananchi mbali mbali mjini na vijijini.

Hivi karibuni Bodi ya chakula dawa na vipodozi ya Zanzibar imekamata tani 245 za mtama na tani 193 za mchele kutoka nje ya nchi vikiwa vimeharibika na havifai kwa matumizi ya binadamu huku vikianza kutoa
[...]Endelea hapa "Wazanzibari kula vyakula vibovu!"

Mabadiliko ya 10 ya Katiba yatiwa Saini
Na Salma Said,

SHERIA namba 9 ya mwaka 2010 ya marekebisho ya 10 ya katiba ya Zanzibar ya 1984 ambayo inaitambua Zanzibar kuwa ni nchi na muundo mpya wa serikali ya umoja wa kitaifa imetiwa saini rasmi na Rais Amani Abeid Karume, Agosti 13, 2010 mwaka huu.

Sheria hiyo imekuja kufuatia kura ya maoni iliyopigwa Julai 31 mwaka huu na asilimia 66.4 ya waliopiga kura kukubali mfumo mpya wa muundo wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar ufanyike baada ya uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Octoba 31 mwaka huu.

“Zanzibar ni nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na visiwa vidogo
[...]Endelea hapa "Mabadiliko ya 10 ya Katiba yatiwa Saini"

Mamia Wamzika Mufti wa Zanzibar
Na Salma Said,

RAIS wa Zanzibar Amani Abeid Karume jana ameongoza umati mkubwa wa waumini wa kiislamu katika ibada ya sala ya mazishi ya aliyekuwa Mufti Mkuu wa Zanzibar Marehemu Sheikh Harith Bin Khelef Bin Khamis.

Ibada hiyo ilifanyika katika msikiti wa Al Mushawar uliopo Mwembeshauri mtaa wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi kabda ya kwenda kupelekwa kijijini kwao Muyuni mkoa wa kusini Unguja.

sala hiyo ilifanyika majira ya saa 3:00 asubuhi na kuhudhuriwa na waumini wengi wa dini ya kiislamu ambapo wananchi waliohudhuria mazishi hayo walimuelezea Mufti katika uhai wake alikuwa ni kiongozi asiyependa kujionesha khsa kutokana na tabia yake ya upole na asiyependa misukosuko katika maisha yake.

Waliohudhuria
[...]Endelea hapa "Mamia Wamzika Mufti wa Zanzibar"

Uzinduzi wa Nyumba ya watoto Yatima Mazizini
Salma Said,  Zanzibar

RAIS wa Zanzibar Amani Abeid Karume, amesema kuwa kutokana na mabadiliko ya ulimwengu na kukua kwa uchumi ipo haja kwa watoto nao kujengewa makaazi bora yenye utulivu na yanayokwenda na wakati uliopo.

Akifungua nyumba mpya ya makaazi ya watoto yatima, iliyopo Mazizini nje kidogo ya mji wa Zanzibar, iliyojengwa kwa ufadhili wa Jumuiya ya ZAYEDESA, Rais Karume alisema kuwa  watoto wana haki ya kuishi maisha bora ambayo yatawasaidia kupata huduma zote muhimu na za lazima ili kuweza kuwaendeshea maisha yao.

Rais Karume alisema kuwa lengo na madhumuni ya ujenzi wa jengo hilo lililojengwa na ZAYEDESA ni kuwasaidia watoto waishi katika maisha mazuri na
[...]Endelea hapa "Uzinduzi wa Nyumba ya watoto Yatima Mazizini"

Mapambano dhidi ya umasikini
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

Na Salma Said,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Amani Abeid Karume, amesema kuwa juhudi za makusudi za kupambana na umasikini  na kukuza uchumi zimechukuliwa hapa Zanzibar kupitia MKUZA  na kuweza kupata mafanikio makubwa.

Rais Karume aliyasema hayo leo wakati alipokuwa na mazungumzo na ujumbe wa Mabalozi wa Heshima wanaoiwakilisha Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nje ya nchi,  yaliyofanyika Ikulu mjini Zanzibar.

Katika mazungumzo hayo, Rais Karume alieleza kuwa kwa upande wa Zanzibar Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupambana na Umasikini, MKUZA umeweza kusaidia kwa kiasi kikubwa
[...]Endelea hapa "Mapambano dhidi ya umasikini"

Wagombea wawili wa CUF wafariki dunia
Na Mwantanga Ame,

WAGOMBEA wawili wa nafasi za ujumbe wa Baraza la Wawakilishi na Udiwani kwenye uchaguzi mkuu ujao wa mwezi Oktoba mwaka huu, kupitia chama cha CUF, wamefariki dunia.

Wagombea hao ni aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kojani, Omar Ali Jadi, aliefariki katika hospitali ya Chake Chake baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa ini kwa muda mrefu, na aliyekuwa mgombea Udiwani wa Wadi ya Kilimani, jimbo la Kikwajuni, Shani Ahamada Shani aliyefariki kwa ajali ya barabarani juzi.

Jadi alikuwa Mwakilishi wa Jimbo Kojani tangu mwaka 1995 na katika kipindi cha miaka 20 aliyoteuliwa kuwa Mwakilishi na miaka mitano
[...]Endelea hapa "Wagombea wawili wa CUF wafariki dunia"

Rais Karume kuonana na Balozi wa Marekani
Salma Said,

RAIS wa Marekani Barack Obama ametoa pongezi kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Amani Abeid Karume kutokana na mafanikio ya kisiasa yaliofikiwa Zanzibar.

Pongezi hizo zilitolewa na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Bwana Alfonso Leinhardt kwa niaba ya Rais Obama, Ikulu mjini Zanzibar na kueleza kuwa miongoni mwa mafanikio hayo ni pamoja na kupatikana ridhaa ya Wazanzibari katika uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa na marekebisho ya 10 ya Katiba ya Zanzibar.

Katika maelezo yake, Bwana Leinhardt alimueleza Rais Karume kuwa hatua hiyo imeonesha wazi kuwa Zanzibar imepiga hatua kubwa kidemokrasia na ndio sababu kubwa iliyomvutia Rais Obama.

Bwana Leinhardt alisema kuwa
[...]Endelea hapa "Rais Karume kuonana na Balozi wa Marekani"

Siri ya maridhiano Zanzibar yawekwa hadharani
Na Salma Said,

KATIBU mkuu wa CUF, Seif Sharrif Hamad amesema kuwa sifa za maridhiano yaliyofikiwa Zanzibar hazipaswi kuelekezwa kwake wala kwa rais wa Zanzibar, Abedi Amani Karume na kwamba suala hilo lilifanywa kuwa siri kubwa kwa karibu miezi sita kuepuka kuvurugika kwa mpango wa muafaka.

Karume na Seif wamekuwa wakisifiwa kuwa ndio walioasisi suala la maridhiano baada ya kukutana mara mbili Ikulu ya mjini hapa, mazungumzo yaliyofuatiwa na kitendo cha Maalim Seif kutangaza kuwa CUF imeamua kumtambua Karume kuwa rais wa Zanzibar.

Lakini akizungumza na Mwananchi ofisini kwake Vuga Zanzibar
[...]Endelea hapa "Siri ya maridhiano Zanzibar yawekwa hadharani"

M.Seif arudisha fomu
Maalim Seif ahimiza uchaguzi wa uwazi

Asema hatakuwa na sababu ya kukataa matoe

Na Mwanajuma Abdi

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia chama cha CUF, Seif Sharif Hamad amekuwa wa kwanza kurejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) hapo jana na kuihimiza tume hiyo kusimamia uchaguzi mkuu ujao mwizi Oktoba kwa uwazi.

Fomu hizo alizikabidhi jana kwa Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Salum Kassim Ali, majira ya saa 9 alasiri baada ya kukamilisha taratibu mbali mbali ikiwemo la kupata wadhamini katika mikoa mitano ya Zanzibar.

Mkurugenzi huyo alizikagua fomu hizo na baadae kumkabidhi risiti ya malipo ya shilingi 2,000,000 ikiwa ni dhamana ya mgombea
[...]Endelea hapa "M.Seif arudisha fomu"