Login



Fotos

Get the Flash Player to see the slideshow.

HISTORIA YA PWANI YA AFRIKA MASHARIKI (KWA UFUPI SANA)

Audhu biLlahi mna shaytani rajym. Rabby ish rahlysadry wayasirly amry wahlul uqdatan min lisany yafqahu qawly.

Assalamu alaykum,

Ingawa kila baada ya muda inabidi niyarejelee baadhi ya yaleyale niliyokwisha kuyaelezea mara kwa mara, lakini pia hadi inafurahisha hadi kuwaona ndugu zetu wanajishughulisha kwa kusoma khabari za taarikh yao na wanatumia mantik na hoja kuyachuja yasiyoingia akilini na pia kuuliza masuali kwa yale wasiyoyajua. Haya mas-ala ya nani kafika Pwani ya Afrika Mashariki kabla ya nani nimeyaandikia mara kwa mara. Lakini ni muhimu ifahamike kwa uwazi kabisakabisa kuwa kuna utumiaji mbaya wa taarikh uliokuwa ukitumiliwa na wanasiasa ili kuwabagua wananchi wenzao. Kwangu mimi, na nimeshaelezea zamani, kuwa madam mtu

[...]Endelea hapa “HISTORIA YA PWANI YA AFRIKA MASHARIKI (KWA UFUPI SANA)”