All posts in Makala/Tahariri

Uchambuzi,tahariri au makala, lakini sio habari mara nyingi ni maoni ya mwandishi au hisia ya mwandishi.

Viongozi wa SMZ mnabururwa!
01/02/2012, 2 Comments

Hivi kweli hii wizara ya Mambo ya nje na Uhusiano wa Kimataifa wa Tanzania ama wa Tanganyika? Kwani kila nikiangalia uwa ...

shein_waandishi
Hapatakuwa na NGO za ‘briefcases’ kama zitawezeshwa
01/02/2012, 4 Comments

Ally Saleh Mwishoni mwa wiki Rais wa Zanzibar, Dk Ali Muhammed Shein alizindua Jumuia ya Kuzuia na Kukinga Maafa (DCPM) ...

Jamhuri ya Watu Zanzibar Juu ya Meza Kwanza!
31/01/2012, 11 Comments

Na Khaleed Suleiman (GwijI) Kwanza tuliambiwa Zanzibar si Nchi na “Sheria ya Marekebisho ya Kumi ya Katiba ya Zanzibar ...

Tuiache Zanzibar iende kwa amani
29/01/2012, 1 Comment

NASHINDWA kuelewa ni kwa nini wahusika wamekuwa wakiilazimisha Zanzibar iendelee kubakia katika Muungano uliozaa Tanzani ...

Misumari ya mwisho katika jeneza la Zanzibar
28/01/2012, 4 Comments

Misumari ya mwisho inapigwa sasa na tanzania-bara katika jeneza la zanzibar. je.wazanzibar mpo ? Na Laila Abdallah. Ombi ...

Maoni:Kwa hili Ismail Jussa hana haja ya kuomba radhi!
26/01/2012, 5 Comments

Ally Saleh, Nimesoma makala ambayo inaelekea kua imechapishwa katika gazeti kuhusu matamshi ya Waziri wa Muungano wa Ard ...

Tanzania Bara kutojali uwepo wa Zanzibar – Kadhia ya mipaka
26/01/2012, 1 Comment

Na Ally Saleh, Habari ambayo ilivuma sana wiki iliyopita ni ile ya kuhusu suala la Tanzania kupeleka ombi katika Umoja w ...