MZALENDO.NET » Makala/Tahariri

NATAMANI NGEKUWA NYUMBANI!
Natamani ngekuwa nyumbani… leo ingekuwa ni siku ya mashamsham ya kila namna… kwanza najua kabla ya kwenda mskitini kuswali swala ya eid ningeambiwa nikachinje kuku, kuku huyu angekuwa yule jogoo tuliemfuga kibandani kwetu kwa kuku au yule wa kununua markiti speshel kwa ajili ya siku hii ya leo. utamu wa kuku huyu katu haufanani na hawa wanaoitwa kuku huku nliko.. maana wa huku ukiwala ni rahisi kusahau wala nini, mpaka ukumbuke kwa nini ulikwenda super market ndipo kumbukizi zikujie kuwa ulikwenda nunua kuku. wa kule nyumbani utamuwe umote: ungozini, unyamani, u’mfupani.

Haya. Likimaliza la kuku sasa ntavalia kwenda mskitini. Si jinzi. Aa, hii si siku ya
[...]Endelea hapa "NATAMANI NGEKUWA NYUMBANI!"

fikra hasi – Ingelikuwaje ingeandikwa mlinzi wa M.Seif auwa ?
Ni udadisi wa kitoto naweza sema ulionijia kichwani ‘samahanini kwa utoto wangu’, ila pia tunaweza kujiuliza kupitia kwayo kwamba ni vipi wale wasiomtakiya mema na wenye kutafuta kila aina ya baya kwa MZANZIBARI huyu Mpendwa na wengi anaegombeya nafasi ya uraisi kupitia chama cha wananchi CUF, mlinzi wake ndie yangemtokeya yaliomtokeya mlinzi wa mgombeya urais wa CCM ambaye pia ni makamo wa rais kumfyatuliya risasi kijana mwenzetu wa kizanzibar na kisha kuidharau maiti yake hadi kufikia kung’ong’wa na inzi? naomba nisieleweke vibaya hapa kwani lengo ni kutafakari tu jinsi baadhi ya watu huyabeba na kuyapublish mambo kwa kumtizama muhusika zaidi ya litendwalo naomba wanaukumbi tujiulize magazeti
[...]Endelea hapa "fikra hasi – Ingelikuwaje ingeandikwa mlinzi wa M.Seif auwa ?"

Visiwa virudishe asili yake, silka na utamaduni wetu.
Na.B.OLE,

Kila jamii ina asili na hulka yake na mara nyingi hufatana na mila, desturi na silka za watu wake katika jamii inayohusika. Asili huandamana na haiba na mapenzi ambayo hujenga udugu na upendo miongoni mwa wahusika, pia huwa ni itikadi yenye kuonesha asili au chimbuko lake katika maisha ya kila siku.

Ikiwa itikadi hiyo itafuatwa ipaswavyo,bila shaka hapo ndipo utapoikuta jamii ile inaishi kwa furaha na faraja,Wanajamii wakifurahia matunda mazuri yenye baraka, upendo na ufanisi, kinyume chake ikiwa jamii hiyo hiyo itapuuza na kuiga mambo ambayo hayakuzoeleka na wala hayana faida na wao, basi ni dhahiri jamii hii itaharibika nakupoteza mwenendo mzima wa maisha yao.

Wazanzibar hatuna
[...]Endelea hapa "Visiwa virudishe asili yake, silka na utamaduni wetu."

Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi hawajiamini .
Na.B.OLE,

Napenda nijenge hoja kuhusu viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwamba ni woga na hawana msimamo wowote  madhubuti katika kuwatetea Wazanzibar na Taifa kwa ujumla.

Na hii ndio sababu inayotufanya wananchi kuzama kwenye dimbwi zito na majanga makubwa ambayo hayana ufumbuzi muafaka, kuepukana na kadhia hii.

Viongozi wetu wapo kwa ajili ya maslahi yao binafsi tu, lakini linapokuja suala lenye maslahi ya nchi na Wananchi basi wao hawasimami kama ni viongozi waliochaguliwa kwa ridhaa za wananchi na wenye uchungu wa maendeleo ya Zanzibar.

Haya yanaonekana dhahiri hayataki mjadala, kwani wao kwa njia moja ama nyengine ndio waliotufikisha hapa tulipo. Kama hilo halitoshi,  Viongozi hawa ndio wanaowapandikiza
[...]Endelea hapa "Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi hawajiamini ."

Serikali ya CCM inangojea watanzania wangapi wafe ili kupata Katiba mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?
Watanzania imefika wakati kutokana na mabadiliko mingi ktk ulimwengu ya kisiasa na kiuchumi na zaidi kuimarisha Muungano uwe imara nilazima tufanye mabadiliko ya katiba. Nasema hivi kutokana na katiba yetu imepitwa na wakati hususani katiba ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ina kasoro nyingi zisizo kizi pande mbili za Muungano. Hivi sasa kumekuwa na malalamiko makubwa kuhusu Mungano na kero zake.

Ili tulinde Muungano wetu? nilazima kuwe na mabadiliko ya katiba yenye kukizi pande zote husika. Sivyema kusema tu tulinde Muungano huku Muungano wenyewe ukiwa na kasoro nyingi za kikatiba. Hivi sasa kuna zana ya Wazanzibar kuhisi katiba ya Muungano ina mapungufu mengi na inatumiwa kama ni
[...]Endelea hapa "Serikali ya CCM inangojea watanzania wangapi wafe ili kupata Katiba mpya ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar?"

Kuna maana gani kusherehekea 9Dec uhuru wa Tanganyika wakati Tanganyika imekufaa.
Mimi sio mwana sheria lakini nashindwa kufahamu hii katiba ya Tanzania na huu mfumo mzima wa Muungano wenu. ikiwa Tanganyika imepoteza utaifa wake na imekufa? Jee hizi Sherehe(Matanga) za 9December uhuru wa Tanganyika zina faida gani?.

Mimi nahisi kwa mtazamo wangu hizi sherehe hazina maana na zinashukuwa ma bilioni ya pesa za Wazanzibar kwa jina la Muungano bila idhini ya upande upande mmoja uliomo ktk Muungano ambao ni Serekali ya watu wa Zanzibar kufanyiwa ufujaji (Israf) kwa kitu kisicho (exist any more). Mimi nahisi kikatiba hili ni kosa Kufuja pesa za Muungano na kuna haja ya wazanzibar kufungua kesi ya madai. Kimtazamo pesa za sherehe zinatokana na
[...]Endelea hapa "Kuna maana gani kusherehekea 9Dec uhuru wa Tanganyika wakati Tanganyika imekufaa."

YA WANA CCM PEMBA AMA KWELI NGOMA INOGILE’
WAWEKWE KATIKA KUNDI LA WATU WENYE MAHITAJI MAALUM{People with special needs}

Waraka huu wapelekewe Maalim Seif na Dr Shein

By Zdaima.

Katika maisha ya mwanadamu inapofika wakati mtu ikawa tabia na matendo yake hayaeleweki jamii huingiwa na wasiwasi,ukoo wake na hasa familia yake na mawazo ya kutafuta ushauri wa kidaktari huanzia hapo, Yawezekana ndugu zetu wana CCM Pemba wanaumwa tena kwa mda mrefu sasa na wanahitaji kutafutiwa tiba ingawa gonjwa lao linaonekana ni sugu{samahani hapa}

Katika muktadha huu naomba nifahamike kwamba lengo ni kukusudia wasaidiwe  wana CCM wa Pemba yaonesha wana matatizo hasa.

Msururu wa matukio ya wanachama hawa unatia shaka kwa matendo yao hasa katika kipindi kilichopita cha ”Gharka ya siasa mbaya hapa Zanzibar”  mpaka kuja kwa
[...]Endelea hapa "YA WANA CCM PEMBA  AMA KWELI NGOMA INOGILE’"

Zanzibar ni haki yetu ya asili na sio jimbo linalotaka kujitenga
Taifa la watu wa Zanzibar na kuona viongozi wao wa smz wako weak. Mungu ibariki Zanzibar na watu wake wote.

Nilazima ndugu zetu waweze kutufahamu kuwa Zanzibar ni nchi tokea enzi na ina watu wake wazanzibar na utamatuni wake wa asili. Hakuna Mzanzibar hata mmoja alakuwa tayari kupoteza utaifa wake,utamaduni wake na asili yake kwa sababu tu ya Muungano.

Hofu na wasi wasi miongani mwa Wazanzibari nikuhishi mfumo wa Muungano ni kupoteza utaifa wa Ki-Zanzibar na Nchi kuwa mkoa. Kuna dalili na mambo mengi yanayo wafanya Wazanzibar  kuona kuwa Zanzibar Muungano hau it-(Treat) Zanzibar kama
[...]Endelea hapa "Zanzibar ni haki yetu ya asili na sio jimbo linalotaka kujitenga"

Tugawane Madaraka ya Muungano,Umakamo hautoshi.
Kwa kipindi kirefu sana tumekuwa tukiburuzwa na serikali ya jamuhuri ya muungano,kiasi ambacho imefikia Zanzibar kuwa katika hali mbaya ya kiuchumi,hii inatokana na viongozi wetu wenyewe kuyafumbia macho maovu yanayofanywa na Tanganyika katika kuhakikisha Zanzibar wanaimaliza kiuchumi na pia kuhakikisha kufanya mkoa.

Mimi ninachotaka kujaribu kudokezea tu kidogo juu ya muungano huu tuliokuwa nao,kwanza ningeanza kusema ikiwa muungano huu ni kweli muungano wa nchi mbili,kama walivyo fanya waasisi wetu wawili,na walivyokubaliana,lakini leo hii naona muungano huu,haukua sahihi uko tofauti na vile walivyo kubaliana waasisi wetu.

Tukiangalia katika uwozi wa jamuhuri ya muungano,asilimia 99 wameshika tanyanyika na asilia 1 kutupa sisi katika uwongozi huo,asilimia moja hii ni umakamo wa
[...]Endelea hapa "Tugawane Madaraka ya Muungano,Umakamo hautoshi."

Wagombea urais Zanzibar, waeleze kwa Wananchi vipi watamaliza mzozo wa Muungano.
Na.B.OLE,

Huu ni wakati muafaka kwa wagombea Urais Zanzibar kujinadi kwa sera  na itikadi zao za chama bila kusahau jambo moja la muhimu kwa Wananchi ambalo limekuwa ni gumzo la muda mrefu sasa, vipi wao kama wagombea watamaliza mzozo wa Muungano uliodumu kwa muda mrefu sasa.

Wazanzibar walio wengi wanahamu na shauku ya kuwasikia wagombea wakitoa mikakati yao juu ya mustakabali mzima wa suala la Muungano kwani kila kukicha hali inazidi kuwa mbaya baada ya kupatikana suluhisho la kudumu kumaliza mzozo huo, matatizo ndio yanaongezeka.

Muungano ndio maradhi ya Zanzibar na Wazanzibar kwa jumla, kwa maana hiyo kinga na matibabu ya kuponya ugonjwa huu yanahitajika kwa haraka sana
[...]Endelea hapa "Wagombea urais Zanzibar, waeleze kwa Wananchi vipi watamaliza mzozo wa Muungano."