Login



Fotos

Get the Flash Player to see the slideshow.

Tangazo:Sala ya Pamoja Leo Ijumaa

Wazalendo mwahimizwa kuchangia:

Ijumaa ya leo tarehe 30/7 Jumuia za Kiislaam zitajumuisha Wazanzibari kwenye kiwanja cha Lumumba kwa sala na dua kuiombea Zanzibar kheri, fanaka na mafanikio ya kuwa ya maoni na SUK.

Jumuia hizo safari hii zimeshindwa kutumia viwanja vya Maisara kwa sababu ya gharama kubwa. Lakini hata huko Lumumba nako kunahitajika msaada wa Kiredha kwa hivyo wale wenye uwezo wanaombwa watabaruk kwa haraka iwezekanavyo.

Wasalaam
Yussuf

Tangazo oroginal:
WAISLAMU WOTE MNAALIKWA KUHUDHURIA KATIKA SALA YA ALA-ASIRI YA PAMOJA YA KUIOMBEA DUA NCHI YETU SALA ITAFANYIKA KATIKA KIWANJA CHA MAISARA SIKU YA IJUMAA SIKU MOJA KABLA YA SIKU YA KUPIGA KURA YA MAONI JULAI 31. BAADA YA SALA KUTAKUWA NA DUA

[...]Endelea hapa “Tangazo:Sala ya Pamoja Leo Ijumaa”

Nafasi za Kazi

Kumeanzishwa ukurasa wa Nafasi za Kazi kwa Zanzibar kupitia Taasisi za kimataifa, hivyo tunawaomba wazalendo kupitia ukurasa huu kila tukifika kwenye mtandao huu.

NAFASI

[...]Endelea hapa “Nafasi za Kazi”

Sauti:Harambee:Mchango wa wazanzibar walio nje (Wazanje)

Update:

Tumepokea ujumbe kutoka kwa Mwenyekit wa MUWAZA kutakuwa na sala na dua siku ya Ijumaa katika viwanja vya Lumumba.Fuatilia maoni ya mwisho mwisho katika chapisho hili kupata habari kamili.

Sikiliza tangazo hilo:

Tafadhali andika alama ya NDIO unapotoa mchango wako, shukurani

MUWAZA-COMMUNITY-ACCOUNT
HSBC BANK,
23,RIPPLE ROAD
BARKING-ESSEX-IG11-7NW.


ACCT   :      71691759
S/CODE:      40-09-06


INTERNATIONAL BANK-ACCOUNT-NAMBER: GB27MIDL 40090671691759.


BRANCH IDENTIFIER CODE:MIDLGB2102F

Tangazo:

Kuna maoni hapa tumeyapokea ya watu kuchangia kampeni maalum ya NDIO – Kura ya maoni.Mchakato huo ni kusponsor program ya TV/Radio ambayo watu wapo nyumbani watashiriki kufanya kampeni hio, na mwisho kutakuwa na maelezo kuwa kampeni hio imedhaminiwa

[...]Endelea hapa “Sauti:Harambee:Mchango wa wazanzibar walio nje (Wazanje)”

Tangazo:kongamano Zanzibar



RATIBA YA KONGAMANO:
Downloadable version (excel)

KONGAMANO LA KURA YA MAONI NA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

SIKU YA KWANZA          JUMAMOSI     TAREHE: 17/07/2010

KIKAO CHA ASUBUHI  :

MWENYEKITI:                  MHE. ABUUBAKAR KHAMIS BAKAR

MUDA
MADA
MUHUSIKA

2.30 – 3.00
KUWASILI NA USAJILI
WOTE

3.00 –

[...]Endelea hapa “Tangazo:kongamano Zanzibar”

Lecture::Islamic History

[...]Endelea hapa “Lecture::Islamic History”

The Islamic Online University (IOU)

The Islamic Online University (IOU) is the brainchild of Dr. Bilal Philips. He envisioned an institution that would offer online intensive, undergraduate, and graduate courses in Islamic Studies completely tuition-free…..

[...]Endelea hapa “The Islamic Online University (IOU)”

Call for Papers – Zanzibar Institute for Research and Public Policy (ZIRP)

Zanzibar Since The Revolution

International Conference, Zanzibar: 18-19 December 2010

Call for Papers

Introduction

Major changes in the economy, population, culture, classes, wealth creation, religious observance, health provision, education, public administration and in many other areas have occurred in Zanzibar since the revolution. There has been insufficient research carried out on these or related issues by administrators or scholars. The conference aims to stimulate new research in these and related areas in order:

Dr.Jane’s Public lecture at SUZA

On 21st July 2010,Dr. Jane Goodall will make a public lecture on Environment & Humanitarian issues at SUZA, Vuga compass the main lecture room at 11.00am. Thus, all public and reporters are welcomed to participate and share interested information.

More info:
Mr. Ali U. Basha.
P. O. Box 255.
Kijito Upele Plot 348.
Zanzibar.
cell: 255 0777 475 978.
home: 255 024 223 1326.
fax: 255 024 223 2782.

Read complete info here

P:S
**Technical issue, probably the pdf wont show up, if thats the case you can always click “Download” to get the brochure in

[...]Endelea hapa “Dr.Jane’s Public lecture at SUZA”

Kilimanjaro Restaurant

Haya kumekucha ndani ya jiji la London. Restaurant mpya imefunguliwa chini ya udhamini wa Wazanzibar wenyewe. Mnaombwa kufika kwa wingi kujionea na kujinunulia vyakula maridhawa vyenye ladha ya Kizenjy, harfu ya karafuu.

Kwa kuanzia itakuwa ni half prize. Maelezo zaidi yanapatikana katika  menu yake

ambayo

[...]Endelea hapa “Kilimanjaro Restaurant”

Muhadharah

[...]Endelea hapa “Muhadharah”

Page 1 of 101234510...Last »