Login



Fotos

Get the Flash Player to see the slideshow.

PROPOSAL – ORPHANAGE PROJECT – 2010

JUMUIYA YA UAMSHO NA MIHADHARA YA KIISLAMU

(JUMIKI)


THE ASSOCIATION FOR ISLAMIC MOBILISATION AND PROPAGATION

P. O. BOX: 1266  -Tel: +255-777-419473 / 434145  E-Mail: jumiki@hotmail.com

MKUNAZINI ZANZIBAR

Endelea kusoma PROPOSAL – ORPHANAGE PROJECT – 2010

CUF ni chama pekee kinachowakilisha utaifa

Ili kuhakikisha maisha bora ya Mzanzibari, kuishi kwa usalama na amani,kuheshimu maisha na haki za binaadam za kila Mzanzibari, kumhakikishia kila Mzanzibari haki zote za kihalali za kidemokrasia, pana wajib mkubwa sana kwa wanasiasa wote wa Kizanzibari kutizama na kulinda maslahi yaWazanzibari wote kwa jumla bila ya kujali chama wakifuatacho.

Kwa hivyo viongozi wote wa kisiasa lazima wasahau tofauti zao na kuungana na kutizama maslahi ya nchi nzima. ASP,CCM(ZNZ), Um- ma Parti, ZNP na ZPPP lazima watambuwe kwamba wanawajib mkubwa sana kwa nchi yao na vizazi vyao, na bila ya kuungana watu wataendeleakuangamizana na nchi kuselelea nyuma milele.

CUF ni chama pekee kinachowakilisha mirengo yote hiyo tofauti

[...]Endelea hapa “CUF ni chama pekee kinachowakilisha utaifa”

The role of the media on the Referendum – KONGAMANO

MAKALA ILIYOWASILISHWA NA MUANDISHI SALIM SAID SALIM
KONGAMANO LA KURA YA MAONI NA SUK
LILILOTAYARISHWA NA MUWAZA, JUMIKI,
ZANZIBAR LEGAL SERVICES CENTER NA ZANZIBAR LAW SOCIETY
[...]Endelea hapa “The role of the media on the Referendum – KONGAMANO”

Nyaraka za kongomano-Makala ya Prof.Mohd Adam

Endelea kusoma Nyaraka za kongomano-Makala ya Prof.Mohd Adam

Nyaraka za Kongomano la Umoja wa kitafa

Tafadhali bonyeza kichwa cha chapisho hili.
Endelea kusoma Nyaraka za Kongomano la Umoja wa kitafa

HOTUBA YA MAKARIBISHO KWENYE KONGAMANO LA MUWAZA

HOTUBA YA MAKARIBISHO KWENYE KONGAMANO LA MUWAZA

KUHUSU KURA YA MAONI NA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

08.30 17.07.2010 Baytul Yamini, Malindi, Unguja, Zanzibar

Imesomwa na Salim Toufiq,

Mheshimiwa Mgeni Rasmi Waziri wa Utawala Bora na Katiba

Mhe. Abdulla Shaaban akimwakilisha Rais Amani Abeid Karume Makamo wa Mwenyekiti Kamati ya watu 6 Mhe. Abubakar Khamis

Waheshimiwa Washiriki wa Kongamano

Waheshimiwa Wageni wa Kimataifa

Mabibi na Mabwana

Wapenzi Wazanzibari

Kwanza napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupa afya njema ambayo imetuwezesha kufika hapa kwa ajili ya kuhudhuria Kongamano hili adhimu.

Pili, nachukua fursa hii adhimu kwa ajili ya kutoa salamu za dhati

[...]Endelea hapa “HOTUBA YA MAKARIBISHO KWENYE KONGAMANO LA MUWAZA”

KURA YA MAONI YA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

KURA YA MAONI YA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA

MAKALA HII IMEWASILISHWA NA ALI UKI KATIKA KONGAMANO

UTANGULIZI

Mfumo wa Kura ya Maoni ni demokrasia kwa wananchi kupiga kura ili kuamua§ jambo katika nchi yao.
Ni mfumo mkongwe k§wa baadhi ya nchi zinazofuata demokrasia ya kuwapa watu nafasi ya kutoa uamuzI.
Katiba za nchi hizo§ hubeba vifungu vya sheria vinavyoelezea utaratibu wa kufuatwa katika upigaji wa Kura ya Maoni.

MORE……UTANGULIZI

Aidha, mfumo wa Kura ya Maoni ni utaratibu mpya kwa baadhi ya nchi. Mfano,§ Zanzibar.
Mfumo wa Kura ya Maoni inadaiwa ni kuvuruga misingi mikuu ya§ katiba inayotaka kutenganishwa

[...]Endelea hapa “KURA YA MAONI YA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA”

Serikali ya Muungano haiheshimu Mkataba wa Muungano

HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI, MHE. RIZIKI OMAR JUMA (MB), KUHUSU MAKADIRIO NA MATUMIZI YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS (MAMBO YA MUUNGANO) KWA MWAKA WA FEDHA 2010/2011

1. UTANGULIZI
Mheshimiwa Spika,
Kwa idhini yako napenda kutoa maoni ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni kuhusu makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Masuala ya Muungano) kwa mwaka wa fedha 2010/2011, kama inavyoelekezwa na Kanuni za Bunge toleo la Mwaka 2007, kanuni ya 99 (7).

Mheshimiwa Spika,
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, kwa kutujaalia sote kuwa hapa kwenye kikao cha mwisho cha bajeti katika awamu hii. Aidha,natoa

[...]Endelea hapa “Serikali ya Muungano haiheshimu Mkataba wa Muungano”

Legislation documents