Supporters of Dr Gharib Bilal have warned CCM that if it doesn’t nominate him this time they will take ‘drastic action’. One of them said: “We have sent a message to President Jakaya Kikwete telling him that this time round we will not tolerate the party interfering with the preferential votes from Zanzibar, otherwise we shall quit CCM.” It is said Bilal and his supporters might join an opposition party and run for presidency. When Bilal was contacted, he denied the report, saying as a staunch party member he can’t issue such ultimatum to his party.
But many party members here feel that Bilal was let down
[...]Endelea hapa “Dr Bilal ‘threatens’ CCM”
1.Kuna tetezi tumesikia umeme uliotandikwa kutoka Tanga tayari umeshawaka katika kisiwa cha Pemba.
2.Tetezi nyengine zinasema MV.Mapinduzi umeshauzwa na iko safarini kwa matengenezo.
P:S
**Habari hizi zote sio rasmi, kwa habari rasimi inshallah tuvute
[...]Endelea hapa “Tetezi:Umeme wa Tanga && MV.Mapinduzi”
Assalam Aleykum
Natanguliza shukurani zangu kwako kwa juhudi mnazozichukua katika web site yenu. kwa kweli imetuzinduwa mengi sisi wanzanzibari.Lengo na madhumuni ya barua hii , ni kukutaka na kukuarifu kuwa kuna ubadhirifu mkubwa umetokea katika benk ya damu salama hapo Sebleni.
Kwa kuwa kulikuwepo na tatizo la umeme kwa kipindi kisichopungua miezi mitatu takriban, kwa kweli lilikuwa ni tatizo la kitaifa lakini hata hivyo imeonekana katika benki ya damu pamefanyika manunuzi yasikuwa ya halali ya GENERETA, KUNA GENERETA imenunuliwa isikuwa na kiwango cha ukweli ( wats) genereta hiyo imenunuliwa pasipokuwa na utaratibu mzima wa (Procuariment) yaani ugavi, inasemakana imenunuliwa kwa thamani ya milioni arbaini na sita, la kusikitisha
[...]Endelea hapa “Tetezi:Kashfa ya ufisadi-Ununuzi wa generata katika kituo cha damu salama”
Mr Mohammed waziri wa jumuiya ya Africa Mashariki
Hadhari kwa wasomaji wa habari hii:
Kama kichwa kisemavyo “tetesi”, hizi si habari za kuaminika!
Utangulizi:
Lisemwalo lipo na kama halipo linjiani laja,ikiwa kuna harakati nyingi za kujinyakulia nguvu kwa Serikali ya Zanzibar dhidi ya serikali ya Tanganyika chini ya kivuli na pazia la Tanzania.Nimenyakua habari za kiaina au za aina yake zinazodai kuwa tayari Dodoma wameshaichagulia Zanzibar Raisi mtarajiwa.
Kama haitoshi na magari au gari za raisi zi njiani zaja ili kutoa
[...]Endelea hapa “Tetesi:Habari kutoka DODOMA-rais mtarajiwa wa Zanzibar”
Habari maarufu