Login



Fotos

Get the Flash Player to see the slideshow.

Programu ya MZALENDO

Kwa muda kulikuwa na harakati za kubadili mfumo wa links zilizopo upande wa kulia kuziweka kwenye mtindo ambao utapunguza ghasia.Hivyo nimetengeneza programu au WordPress plugin ambayo inaweza kufanya kazi hio.

Plugin hio tumeanza kutumia na hivyo viungo vyote viko kwenye orodha, na ukiclick website hio itafunguka.Hii ni program made by mzalendo na mimi mwenyewe kama fundi wa mtandao huu ni mtunzi wa programu hio.Hivyo leo tumeshaitoa kwenye public domain, na tumeweka njia za watumiaji hao kama watapendelea kuchangia au kutoa mchango mdogo kama ni hisani ya kutumia programu hio bila ya malipo watoe michango yao kwenye account ya MZALENDO ya paypal.

On top of that enjoy the plugin!

P:S
[...]Endelea hapa “Programu ya MZALENDO”

Downtime

Mzalendo.net imeratibiwa kuenda down leo, pengine mnaweza kuexperience saiti inatoka hewani na vitu kama hivyo. Tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza au utakaojitokeza, hii inakuja kutokana na matengenezo mawili matatu ya programu ikiwemo na updates mbili tatu.

Note:

Timezone UTC/GMT +2 hours

Entry Time
Author
Comment
Persistent
Type
Expires

08-27-2009 09:00:59
mrfroasty
This host has been scheduled for fixed downtime from 08-27-2009 09:00:24 to 08-27-2009 11:00:24. Notifications for the host will not be sent out during that time

[...]Endelea hapa “Downtime”

Dynamic Firewall

After suffering lots of brutal force attacks especially on FTP services, we decided to install some kind of dynamic firewall.It has been tested and its known to work.

This is simple how to that explains how to install a dynamic firewall.

Requirements:

*iptables support in the kernel:

Device Drivers—>Networking Support—>Networking Options—->Network Packet Filtering (replace Ipchains)—>Netfilter Configuration

#emerge -av iptables

Put on some general rules on the firewall /etc/iptables.bak:

#Firewall for Mzalendo Server

*filter

:INPUT ACCEPT [5:952]

:FORWARD ACCEPT [0:0]

:OUTPUT ACCEPT [1192099:595387635]

# accept all from localhost

-A INPUT -s 127.0.0.1 -j ACCEPT

# accept all previously established connections

#-A INPUT -m state –state RELATED,ESTABLISHED -j ACCEPT

# permit people to ssh into this computer

-A INPUT -p tcp -m state –state

[...]Endelea hapa “Dynamic Firewall”

Gazeti la Majira Haliko hewani

Tunaomba samahani kwa kuliondosha gazeti la majira, sio kama tumelifungia lakini tumeliondosha kwa muda kutoka na website hiyo ya gazeti la majira kuondoka hewani.

Tutarudisha habari za majira mara tuu tutakapogundua kuwa website ya majira imerudi hewani

Asenteni

mzalendo

Marekebisho:
Majira wamerudi hewani, tushawarudishia habari

[...]Endelea hapa “Gazeti la Majira Haliko hewani”

how to nagios with gentoo

Seting up nagios, involves central PC that monitoring software nagios is installed and couple devices that we are monitoring.
In this scenario we 2 computers and 1 router.One computer called gendesktop is the central command center that nagios is installed to monitor itself, router and 1 remote server(fileserver).

Endelea kusoma how to nagios with gentoo

Jinsi mzalendo inavyokuwa monitored 24/7

Habari njema kwa mzalendo, tokea jana tulikuwa tunafanya mabadiliko mawili matatu kwenye mazingira ya mtandao wetu.Mambo 2 yamebadilika,

  • Moja tumebadilisha hardware mwanzo tulikuwa tunatumia modem->router->server….sasa hivi {modem && router} vimekuwa replaced na device moja tuu, tunatarajia kuongeza speed kidogo hapa.
  • La pili tumeinstall NAGIOS ambayo nitaweka picha yake hapo chini, baada ya kufanya configaration ndefu.Sasa tuna uwezo wa kumonitor na kuchora graphs nzuri tuu kuonesha takwimu ya uwezo tulio nao kwenye server hiyo.Angalia picha moja ambayo imenifanya majino yatoke nje kwa uwezo wa programu hii.
  • Jengine tumeanza kutumia utaalamu unaitwa “Cache”, hii itasaidia kuongeza speed vile vile.Kwani hapo mwanzo kila mtumiaji anavuta data kutoka kwenye DB ambayo, sasa hivi

    [...]Endelea hapa “Jinsi mzalendo inavyokuwa monitored 24/7″

Matatizo ya kiufundi

Tunaomba samahani tokea jana tarehe 16-07-2009, tumekuwa na matatizo ya DNS.Temelazimika kubadilisha network setup locally, na kufanya mabadiliko kwa hosti wetu huko marekani.Lakini naona bado wana rekodi zetu za zamani na hichi ndio kinachopelekea mzalendo.net kuwa down, na mara nyengine kuwa hewani.

Tushawasiliana nao, tunatarajia tatizo hili litakuwa fixed haraka iwezekanavyo.

Asanteni….
[...]Endelea hapa “Matatizo ya kiufundi”

Installing 3rd party on gentoo box

3rd party ebuilds:
Notice:
You might need gcc greate than 4.2 with gcj enabled.

Install overlay using layman, this means downloading the installation files like ebuilds or so.It wasted me hours to figure out.
Notice the experimental overlay arent available on official list, so fast lets add the java-experimental overlay to the list
edit layman.cfg and add the following below the default list:
#
overlays : http://www.gentoo.org/proj/en/overlays/layman-global.txt
file:///usr/portage/local/layman/my-list.txt

Open up a broser http://www.gentoo.org/proj/en/overlays/layman-global.txt
Copy this list, and paste it on /usr/portage/local/layman/my-list.txt, my-list.txt doesnt exist your need to create it.
Add the java-experimental overlay, what i

[...]Endelea hapa “Installing 3rd party on gentoo box”

Virtual Machine-VirtualBox

Installing gentoo on VirtualBox

Host preparations:
Open VirtualBox
-Click new and follow the instructions on the screen.After you have finished, go to cdrom and attacht rescuecd.iso on it.
-Done with creating the guest oss, then click start to boot into the rescuecd.iso.

Instructions (general installation-routine for gentoo)
Please feel free to skip this and use the excellent official handbook.

-Prepare network, net-setup will do.But ping isnt working even though connected to internet.I used to open firefox for the handbook :)
-Click start to Boot rescuecd, after the process type “startx” and then gparted to prepare disks.Skip the “startx” if you feel good.
-If you choose

[...]Endelea hapa “Virtual Machine-VirtualBox”