|
|
salaam,
wana ukumbi zanzibar imepokea fedha za machapisho ya kizalendo mara mbili.Moja ilikuwa ni makala ya Ally Saleh na ile ya B.Ole. Kulitoleshwa nakala 300 na zaidi.Hizi zilisambazwa unguja zaidi lakini pia pemba. kopi zilikuwa zimebaki na hivi karibuni zilitumika katika semina ya vijana kuhusu civic education.
Pia kulitolewa pesa za kuchapisha KWA NINI UPIGE NDIO. tulichapisha kopi zaidi ya 3,000 na hizi zilisambazwa unguja na pemba. kopi hizo ziliibua msisimko mkubwa juu ya suala la kura ya maoni.
Wengine bado wanafikiri kuwa kama kuna harakati zilianza kuhusu kura ya maoni…hasa zile hoja 10 zilizokuwa zimetolewa.Kama kuna wana mtandao wowote ambao hawakuwa wamepata feedback basi hali ilkuwa ni
[...]Endelea hapa “Update:Fotokopi Project”
AS,
Kwa muda takriban mwaka mzima sasa mimi binafsi yangu nimekuwa ni msimamizi mkuu wa project hii ya kutafsiri na kumaintain programu ya WordPress kwa lugha ya Kiswahili.Kwa faida ya wote, programu ya WordPress ndio hii inayoendesha mtandao wa MZALENDO na mitandao mengine mingi hususan blogi.
Hii project ambayo inapatikana kwenye kiungo hiki sw.wordpress.org, ni project nzuri na yenye manufaa mingi kwa kuelimisha jamii.Binafsi yangu nimefarijika na kutumikia na kutoa mchango wangu katika project hii kwa muda wa mwaka mzima.
Maoni yangu na ushauri ni kuwa vijana wa kizanzibari hususan kamati ya wanafunzi wa SuZa kwenye department ya IT au Computer Science, wangeichukua na kuisimamia au kuwapatia wanafunzi
[...]Endelea hapa “Ushauri:SuZa && Taasisi ya Kiswahili Zanzibar”
Assalamu alaykum,
Ili kuweza kuindesha mtandao huu kwa ufanisi zaidi, tunawaomba wale wote wanaotaka kuweka matangazo yao ya biashara kutumia kurasa maalum zilizowekwa kwa shughuli hiyo, vyenginevyo zitaondolewa.
Vile vile ili kuwezesha mtandao huu kuingiza mapato madogo ya kuindesha tunawataka watu walipie huduma hizi kwa ghrama ndogo tu.
Kwa maelezo zaidi wasiliana
[...]Endelea hapa “Matangazo”
AS,
MZALENDO.net imeboreshwa usiku wa leo.Kutakuwa na mabadiliko ya hapa na pale hususan kwa watunzi wa machapisho.Uboreshaji huo mwingi umetokea upande wa ndani ya MZALENDO na sio nje.
Vile vile tunaomba msaada wenu katika kuboresha sentensi na kiswahili kizima kilichotumika katika mtandao.Kwa wale wajumbe wapya, ni kuwa kamati ya ufundi ikiongozwa nami tunamaintain WordPress ya Kiswahili kwa ajili ya watu wengine wanaopendelea kuanzisha website zao kwa lugha ya Kiswahili.Hivyo mara tuu nilipomaliza kurelease WordPress3, nimefanya uboreshaji katika mtandao wa MZALENDO kutumia program mpya.
Katika mchakato huo wa kumaintain software hii katika lugha ya Kiswahili kuna makosa mengi na maneno mengi ambayo hayatambulikani katika lugha ya Kiswahili.Hivyo ukiona sentensi ina
[...]Endelea hapa “Update:Mabadiliko katika mtandao”
AS,
Kumejitokeza mtindo wa watu kutoa maoni kwa mashambulizi ya jamii fulani au sehemu fulani ya Zanzibar.Tunapenda kuchukua nafasi hii kuwataarifu kuwa MZALENDO itachukua hatua za kinidhamu kuhakikisha kuwa wajumbe hawatoi maoni yenye kukashifu jamii fulani katika visiwa vyetu.
Hivyo uongozi utahakikisha kuwa maoni yote yenye kulenga kugombanisha jamii, kuchochea, kutusi, kukashifu na kuleta mgawanyiko miongoni mwa wazanzibari yatafutwa haraka iwezekanavyo.Tunaomba ushirikiano na watumiaji wa mtandao.
Watu wanaombwa tafadhali watoe maoni yenye hoja za nguvu na tujitahid maoni hayo yawe yameambatana au kuendana na chapisho tuu bila ya kuanza kuzungumza masuala yasiokuepo kwenye chapisho hilo.Kama unahisi maada unayotaka kuzungumzia haipo kwenye chapisho hilo, basi poteza muda kuandika chapisho jipya.Hii
[...]Endelea hapa “Ujumbe maalum kwa watoa maoni”
AS,
Kwanza naomba nitoe maelezo mafupi kuhusiana na IP ndio nini.IP ni anwani ya mtumiaji wa computer katika mawasiliano ya Internet.Basically, website zote ikiwemo Google,Facebook zote hizi zinaweka records za IP za watembeleaji.
Kuna upotoshaji mkubwa wa kuwa usalama wa mtu uko hatarini kwa ajili tuu unajua IP address yake.Hii dhana ni potofu na haina ukweli wowote, ndio maana siku zote nimekuwa nikikimbia kuchokora mitambo kwa ajili ya kuficha hii.Lakini naona wazanzibari tumeshajazwa khofu na woga kila kipembe, hivyo napenda kutangaza rasmi kuwa records za IP kwenye comment hakuna.Hivyo hili suala la IP kujitokeza limeondoka, kama ukiliona tena tafadhali tutumie maoni tuendeleze vita dhidi ya IP.
Information ambazo
[...]Endelea hapa “Usalama wa watoa maoni (IP)”
1.0 Historia fupi
Mnamo muda kama huu katikati ya mwezi wa June 2009, mawazo ya kuanzishwa kwa jukwaa maalum kwa ajili ya habari za Zanzibar yalianzishwa.MZALENDO.NET kama mtandao mwengine wowote, ulikuwa na changamoto za hapa na pale tulianza kurusha matangazo kutoka kwenye nyumba ya mjumbe mmoja wa MZALENDO.Hatimae baada ya miezi 6 mtandao ukaanza kurusha matangazo katika computer maalum kwa ajili ya urushaji website.
1.2 Gharama za uendeshaji
Hadi sasa tunarusha matangazo kutoka US, kwa gharama za wastani wa 100-150$ kwa mwaka.Kwa mwaka wa 2010-2011 gharama zimelipiwa, hivyo mwishoni mwa mwaka 2010 fikra za kulipia mwaka 2011-2012 zitaanza.Vyanzao vikuu vya ufadhili wa gharama hizo:
Leo nimepigisha foto kopi yale machapisho mawili ya kizalendo.kwa jumla ni kopi 300 za “Barua ya Wazi kwa Wazalendo” wote wa Kizanzibari na kopi 275 kwa chapisho la “Siasa na Migogoro Zanzibar-Fikra mpya katika zama mpya”
Tumefanikiwa kupata idadi kubwa zaidi ya kopi kwa kuwa nilipata pahala pa rahisi zaidi ambako wamechapisha kopi moja kwa shs 30 badala ya shs 50 ambayo ndio bei ya kawaida sehemu nyingi.
Tutasambaza kopi kwa maeneo. kila eneo tutawapa kopi chache na wataoingia hamu ya kusoma zaidi watatoa kopi lakini pia tunataraji kuwa kopi moja itasomwa na watu wengi.
Usambazaji utakuwa stone town na nje ya mji lakini pia tutapeleka kopi huko Pemba.
Shukuran.
Ally
[...]Endelea hapa “Update:Fotocopi machapisho ya kizalendo”
AS,
Tumeongeza page moja hapo juu (top navigation).Sasa video zote zilizoko kwenye video library yetu zitaonekana moja kwa moja hapo “button ya video” au
[...]Endelea hapa “Update kwa wazalendo”
AS,
Kwa wale waliokuwa hawajafuatilia kulikuwa na mawazo hapa ya kusambaza copi kwa wazanzibari walio wengi ambao hawana fursa ya kutumia Internet.Hili wazo kwa kweli ni jema na linafaa kuungwa mkono.
Shk Ally Saleh ameahidi kutoa ushirikiano wa kufanikisha suala hili kwa upande wa Zanzibar.Hapa ushirikiano wenyewe utakuwa sio wa kuranda mitaani na kusambaza copi hizo, hilo tunapenda liwe wazi kwani nae ni mtu na kazi zake na familia yake.Hivyo vijana wa kuranda na kusambaza watahitajika kujitolea.
Gharama za uchapishaji:
Kwa mujibu wa data tulizopokea uchapishaji copi moja ni Ts 50.Tunahitaji kiasi kisichopungua 100,000 Tsh kwa ajili ya kuanza mchakato huo wa kuwafikia wananchi wasio kuwa na huduma
[...]Endelea hapa “Harambee:Usambazaji copy za machapisho ya kizalendo”
Page 1 of 612345»...Last »
|
|
Habari maarufu