Maoni kwa MZALENDO.NET

Maoni sauti ya uchaguzi wa amani visiwani kwa Utomvu
kumbe huyu dingi said sudi tunaweza kumwita

nimgonjwa waakili,licha hafai kugombea uraisi hata kuishi

najamii  yakizanzibar hafai pia nasema hivo

kwasababu ana macho haoni, ana masikio hasikii

na ana pua hahisi harufu, tumwite mtapia mloo

mimi naona anichefua roho, Mungu sw ibariki zanzibar

nawabariki waipendeleayo mema zanzibar amin,

mimi nilimsikiliza hayo maongezi yakee nikaona huyu

anapapatua tongekwatonge but tunakwambia yagujuuuu.

Maoni Sauti:uchaguzi wa amani visiwani Zanzibar kwa kassim
Assalam alaykum!

Mimi napenda kuelimishwa kidogo. Najuwa kabla ya kura ya maoni kupigwa kuna mambo mengine yaliangaliwa, ukiwemo mfumo gani wa serikali, ama sivyo? Masemina, maredioni, magazetini, mahojiano ya watu binafsi na vyo vya habari, makombano ya ndani na nje, yote haya yalikuwa na lengo la kutowa elimu kwa mpiga kura. Mwanzoni sote tulikuwa hatuelewi chochote ya ya serikali hiyo umoja wa kitaifa, sasa kidogo tunaanza kupata picha.

Suali langu ni hili; Wananchi sio ndio waamuzi wa mwisho? Na hili la serikli ya umoja wa kitaifa na mfumo wake ulio tayarishwa, si ndio wananchi  wametakiwa waseme kama wanautaka huu au wanataka huu wa Bwana Soud Said Soud?

Mimi naona Bwana Soud kama amechelewa, walikuwa na fursa ya kupigania hilo, sasa kama wananchi walio wengi wamesema hapana kwa serikai aitakayo yeye na vyama vyengine vya Tadea, Jahazi asilia… Ingekuwa kuna shutma za uharibu wa kura za maoni, basi hapo angeweza kujenga hoja.

Huyuanafikiri tumesahau. 1995 yeye na genge lake, wakishirikia na Marehemu Dr Omar, walkipigia debe sana chama cha CCM. Walitumiliwa, kumkashifu Maalim Seif, wakapata mapesa, wengine wakafunguwa miradi, wengine wakaiba mapesa bankmikopo haramu), wengine wakaishia U nako kukawashinda, CCM ikawatimuwa. Soud huyu baada a kufukuzwa CCM, hatari kweli, hata haya hana, akatak kujiunga CUF. Wapi CUF wakamuambia hatutaki uzoga. Mikutano yote ya CCM kwenye kampeni za CCM, basi utamuona kwenye kiriri, Omar Awes Dadi, Komba yule kijana wa kiarabu, Soud, Kwacha nk nk. Asubuhi ukipita ofisi wa waziri kiongozi wamejipanga nje … Kama vile anasubiri resheni ya chakla….

Maoni Sauti:uchaguzi wa amani visiwani Zanzibar kwa mumewetu
A/A wana ukumbi,

Huyu Said Soud Said, mimi ninamfahamu nadhani huenda ikawa kuliko mtu mwengine hapa ukumbini, lakini muda hauniruhusu kumzungumza kwa sasa kwani nina dakika 10 za kujitayarisha niweze kutoka.

Mungu akinijaalia Kesho nitamuelezea kidogo.

Mungu ibariki Zanzibar

Maoni Sauti:uchaguzi wa amani visiwani Zanzibar kwa Administrator
Hassan10:

Hatma ya Amani na Utulivu Zanzibar iko ktk mikono ya ZEC

Hatutokuwa kimya ZEC kuvuruga uchaguzi kwa kuegemea chama tawala.03 00 Saturday Wiki Hii – 04 11 2000

Share and Enjoy:

1 Maoni Hatma ya Amani na Utulivu Zanzibar iko ktk mikono ya ZEC

seif

07/09/2010 katika 11:21 um · Jibu · Hariri

ZEC,mara hii mukija mukiharibu uchaguzi basi tutawashuhulikia nyinyi pamoja na familia zenu. Hatuto andamana wala kupigana na polisi, bali tutawafuata nyinyi majumbani kwenu kuidai haki ya wazanzibari. Ole wenu mukija kuvuruga uchaguzi mara hii. Tunajua ZEC ni Kombo, Juma na asha na wote wanajulika wanapokaa pamoja na familia zao.Zanzibar kuna amani sasa hivi lakini nyinyi ZEC mukija kuleta za kuleta mutaona cha mtema kuni,TUTAWASHIHULIKIA NYINYI NA WATOTO WENU.

Maoni Sauti:uchaguzi wa amani visiwani Zanzibar kwa Royal Zenj
Asslam aleykum wazalendo Tena huyu Bwana SUDI ni wakuogopwa kama UKOMA  hafai katika jamii ya Kizanzibari eti Zanzibar anaifananisha kama Ruanda ee bwana we huna watu usiitishe jamii hakuna lolote litakalo tokea kwa kutopewa wewe nafasi katika Serikali mpwa .

Watu wataunda serikali na wewe hupati kitu na hufanyi lolote .Nadhani si wakuogopwa ni wakupwuuwzwa tu .

Maoni Sauti:uchaguzi wa amani visiwani Zanzibar kwa Elbattawi.
Watu wengine wapo Duniani kufanya fujo tu wala sikitu chengine. Mtu kama Said Soud, ukimuuliza kwamba nioneshe hayo matawi ya Chama chako AFP Unguja na Pemba, nina hakika kuwa hana hata tawi moja.

Unaweza kumuuliza Bwana Said, hebu naomba unioneshe viongozi wa Chama chako kuanzia ngazi ya tawi, wilaya na mkoa kwa Zanzibar nzima yaani Unguja na Pemba. Naamini hana hata mtu mmoja na kama wapo hawapati hata watu mia moja.

Watu namna hii wapo duniani kwa ajili ya fujo na karaha. Said Soud ni mgombea urais wa Zanzibar kwa mwenvuli wa AFP naamini baada ya kura yake kumchagua yeye kama Rais wa Zanzibar, hapati kura nyengine, hata ile kura ya mama watoto wake nina hakika haipati. Mama watoto wake ni cuf damu.

Inshallah.. nitakuwa Zanzibar kuanzia oktoba 20,2010 kwa lengo la kuangalia mwenendo mzima wa uchaguzi mkuu. Nitajitahidi kuandika kupitia Mzalendo.Net

Habari zangu zitakuwa na tafauti na zile za waandishi wa habari wa Magazeti, Redio na kadhalika. Nitajaribu kuandika na kulenga zaidi matukio, visa na mikasa ili kuwafurahisha na kuwachangamsha kwa mambo moto moto “latest or Breaking News”, wasomaji na wachangiaji wa mzalendo.net

Kwa kuwa Said Soud kwa mujibu nilivyosikiliza hii habari ya Salma Said, hana hata imani ya nchi yetu wala hajui yeye mwenyewe anafanya nini na watu wanafnaya nini. Nitajitahidi kutaka kujuwa atapata kura ngapi na za nani. Siamini kuwa ataweza kupata zaidi ya kura mbili.

Kuongozwa na mtu kama Said Soud ni bora uongozwe na punda…

Maoni Sauti:uchaguzi wa amani visiwani Zanzibar kwa makame silima
Bw Said Soud-AFP wa Chama cha wakulima kusitowe vigezo vya Ruwanda na Wazanzibar wazanzibar ni wastarabu na niwatu wanao juwa nini wanafanya. Na kama walitaka Zanzibar iwe Ruwanda ingekuwa leo haitawaliki kutokana na vitimbi vya ccm na ZEC yake. Na kushirikisha vyama vengine sio lengo la kuifufua Zanzibar mpya na kuleta hadhi ya Zanzibar na Wazanzibar. utapia mlo wako usije kusababisha vurugu zidi ya vyama vya Bara ambavyo likija suala la Muungano huwa ni Wakereketwa wa Ccm. Na hatujawahi hata siku moja kulala Bandarini kuzuwia Jeshi na vifaa vya kijeshi kupelekwa Zanzibar kua wazanzibar.kwa hio Bw Soud watu wako ktk mapambano ya kudai uhuru wao sio utapia mloo.

Maoni Wazanzibari kula vyakula vibovu! kwa Annur
Ninavyo elewa mimi nchi nyingi zinakuwa zinadhiti uingizaji wa vyakula kwa kuweka mwabwana afya katika sehemu zote za kuingiza bidhaa nchini. Serikali huweka utaratibu wake.

A.Bidhaa za vyakula hufanyiwa taftish  na mabwana afya kwa ajili ya usahihi wake nakutoa shahada kabla hazijaingia kwa walaji. Hii kwa bidhaa mpya.

B.Maofisa wa afya ya manisipaa ya mji hufanya taftishi zake kwenye maduka ya reja reja kuangalia kuwa sheria ya usafia inatimizwa na vya kula vanavyouzwa havijapitiwa na wakati wake kwa bidhaa kongwe

C.Kila mara hufnyiwa vile vile taftishi ghala zote za vyakula kwa usafi na zisije zikawa na bidhaa kongwe zilizo kwisaha muda wake wa kutumiwa.

Sasa ukiangalia hapo juu kwenye maelezo, inaonyesha ni bidhaa mpya zinazo zungumziwa kwa ajili ya matumizi ya mwezi Ramadhani si bidhaa kongwe zilizo lala kweye maghala. Sasa makosa hasa yako wapi kwa wafanya biashara au kwa maofisa husika wa afya? Jambo la kusitisha ni kuwa mwezi mzima Ramadhani watu walikuwa wanalishwa vyakuala vivlvyo kwisha muda mpaka mabwana afya wame kuja kufichua hivi karibuni. Tujue wafanya biashara wa vyakula popote ulimwenguni huwa wanatafuta mwanya wa kufanya uaharibifu kama huu, si Zanzibar tu, hivo serikali ni lazima

iwe macho kudhibiti uingizaji wa vyakula ..

Soma hapa chini uangalie hata Carrefour hawaaminiki.

“Abu Dhabi Food Control Authority (ADFCA) has shut down the meat sections of two major retail chains for selling expired meat products, a statement said on Monday….

The meat stalls at Lulu Hypermarket in Al Wahda Mall and Carrefour in Marina Mall were also closed down for three days during the past two months for allegedly selling expired meat and other violations, according to the statement.” – Gulfnews.com, 03 August 2009

http://www.arabianbusiness.com/591311-dubai-firm-sold-food-not-fit-for-human-consumption

Maoni Picha:Kuna cha kuongeza hapo? kwa kibakora jaz
ccm juu juu juu zaidi nimefurahishwa sana na maendeleo aliyotuletea ccm kwa takriban miaka 50 sasa kwa kweli ni mambo ya kufurahisha na kupigiwa mfano hasa ktk sekta ya elimu,

naw2aomba wana ccm wenzangu tuzidi kukaza kamba na kuiunga mkono serikali yetu kwa jitihata kubwa wanazotuonesha viongozi wetu kwa kweli wana ccm tutembee kifua mbele kwa maendeleo haya .

zaviongozi

Maoni Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi hawajiamini . kwa sale
Unayosema ni kweli

Mimi nimefahamu hakuna kiongozi yoyote aliekaa kwa maslahi ya zanzibar bali ni maslahi yake mwenyewe tu,,

Hivi kweli iamuliwe hakutokuwa na mshahara tofauti na wafanyakazi wengine, hakutonunuliwa magari, hakutokuwa na marupu rupu ya kijinga kwa  wawakilishi, unadhani atatokea mtu kugombea nafasi hizo?

Hao wote wamekaa kwa maslahi yao wenyewe, ingelikuwa wamekaa kwa ajili ya zanzibar, tungekuwa tuko mbali wala hatuburuzwi na Tanganyika na muungano wao ungekuwa mwisho Chumbe…

Mimi juna langu Saleh Abdullatif Ahmed Momahammed Haji Mjimbini