Asante sana kwa msaada na mchango wako :
Kwa niaba ya MZALENDO FOUNDATION, tunapenda kutoa shukurani zetu za dhati kwa mchango wako kwa MZALENDO FOUNDATION.
M.Mungu akujaalie kila la kheri na inshallah tutahakikisha mchango huo unawafikia walengwa.
UONGOZI WA MZALENDO FOUNDATION

Habari maarufu