pweza ,the paulo

Written by  //  15/07/2010  //  Habari  //  4 Comments

4 Comments on "pweza ,the paulo"

  1. Taymiya 15/07/2010 kwa 6:27 um ·

    Nahisi umekusudia kufurahisha wana ukumbi, lakini kama hivyo ndio unavyoitakidi katika nafsi yako basi hiyo ni shirki na shirki ni dhambi.

  2. cali 15/07/2010 kwa 7:06 um ·

    aah sio itikadi wala ushirikina
    kwani hapo watu hawakupiga ramli walikwenda na kufanya kama ilivyokua akifanya kwenye kombe la dunia
    na hayo ndio matikeo yake
    jee unapinga kua cuf haishindi kwenye chaguzi zilizopigwa
    nazani bora tukupe darasa

  3. misali 15/07/2010 kwa 8:26 um ·

    Huo ni ukosefu wa elimu na kutokuwa na iman na nyonyo zilizojaa shrrki kuamini visivyo aminiwa

  4. swaglish 16/07/2010 kwa 11:18 mu ·

    jamani shirki haifaii,, musitake kuwapotowa wazanzibari kwani zanzibar tuko waislamu wengi na hatuamini ushirikina huooo,,, kwanza uwongo hajenda kutabiri mtu coz kila mtu anaweka picha zake kwa kufanya editing hizo picha za ccm nz cuf nishaziona kama 3 zipo tofauti mara ccm iko kulia cuf ipo kushoto mana cuf ipo kulia na ccm kushoto uwongo mtupu,, na huu mtandao nazani hamuna tena kazi za kufanya munatka sasa kudanganya watu haifaii upuuzi mtupu,,, sio kufurahisha watu hivi kama umekusudia watu wafurahi

Comments are now closed for this article.