Maoni kwenye: pweza ,the paulo

Kwa: swaglish
jamani shirki haifaii,, musitake kuwapotowa wazanzibari kwani zanzibar tuko waislamu wengi na hatuamini ushirikina huooo,,, kwanza uwongo hajenda kutabiri mtu coz kila mtu anaweka picha zake kwa kufanya editing hizo picha za ccm nz cuf nishaziona kama 3 zipo tofauti mara ccm iko kulia cuf ipo kushoto mana cuf ipo kulia na ccm kushoto  uwongo mtupu,, na huu mtandao nazani hamuna tena kazi za kufanya munatka sasa kudanganya watu haifaii upuuzi mtupu,,, sio kufurahisha watu hivi kama umekusudia watu wafurahi

Kwa: misali
Huo ni ukosefu wa elimu na kutokuwa na iman na nyonyo zilizojaa shrrki kuamini visivyo aminiwa

Kwa: cali
aah sio itikadi wala ushirikina

kwani hapo watu hawakupiga ramli walikwenda na kufanya kama ilivyokua akifanya kwenye kombe la dunia

na hayo ndio matikeo yake

jee unapinga kua cuf haishindi kwenye chaguzi zilizopigwa

nazani bora tukupe darasa

Kwa: Taymiya
Nahisi umekusudia kufurahisha wana ukumbi, lakini kama hivyo ndio unavyoitakidi katika nafsi yako basi hiyo ni shirki na shirki ni dhambi.