Habari

Azam yaleta meli nyengine mpya

Mali  mpya ya  Azam  Sea   Link  ikiwasili  bandarini Zanzibar

Mali mpya ya Azam Sea Link ikiwasili bandarini Zanzibar

Kampuni ya Azam Sea Link imeleta meli nyengine mpya. Ikiwa na lengo la kurahisisha usafiri kwa wananchi baina ya Unguja, Pemba na daressalam kampuni imeleta meli nyengine itakayokidhi mahitaji ya usafiri wa baharini.

Huu ni muendelezo baada ya mafanikio ya meli yake ya m wanzo ya Azam Sea Link 1

Share: