Jinsi mzalendo inavyokuwa monitored 24/7

Written by  //  17/07/2009  //  Isio-gawanyo  //  Zima maoni

Habari njema kwa mzalendo, tokea jana tulikuwa tunafanya mabadiliko mawili matatu kwenye mazingira ya mtandao wetu.Mambo 2 yamebadilika,

  • Moja tumebadilisha hardware mwanzo tulikuwa tunatumia modem->router->server….sasa hivi {modem && router} vimekuwa replaced na device moja tuu, tunatarajia kuongeza speed kidogo hapa.
  • La pili tumeinstall NAGIOS ambayo nitaweka picha yake hapo chini, baada ya kufanya configaration ndefu.Sasa tuna uwezo wa kumonitor na kuchora graphs nzuri tuu kuonesha takwimu ya uwezo tulio nao kwenye server hiyo.Angalia picha moja ambayo imenifanya majino yatoke nje kwa uwezo wa programu hii.
  • Jengine tumeanza kutumia utaalamu unaitwa “Cache”, hii itasaidia kuongeza speed vile vile.Kwani hapo mwanzo kila mtumiaji anavuta data kutoka kwenye DB ambayo, sasa hivi tunatarajia kwa kutumia “Cache” page zitakuwa faster.

Baadhi ya picha kutoka kwenye central office ya mzalendo :)

Monitoring System of Mzalendo Systems

Monitoring System of Mzalendo Systems

Monitoring System of Mzalendo Systems

Monitoring System of Mzalendo Systems

Comments are closed.