Gazeti la Majira Haliko hewani

Written by  //  28/07/2009  //  Isio-gawanyo  //  2 Comments

Tunaomba samahani kwa kuliondosha gazeti la majira, sio kama tumelifungia lakini tumeliondosha kwa muda kutoka na website hiyo ya gazeti la majira kuondoka hewani.

Tutarudisha habari za majira mara tuu tutakapogundua kuwa website ya majira imerudi hewani

Asenteni

mzalendo

Marekebisho:
Majira wamerudi hewani, tushawarudishia habari hizo tayari.

2 Comments on "Gazeti la Majira Haliko hewani"

  1. msomaji maarufu kutoka ndala-tabora 30/07/2009 kwa 11:21 mu ·

    acheni kutoa sababu sisizo za msingi kwa kutokuwepo gazeti lenu kwenye mtandao,semeni kama ndiyo kufanya biashara ili sisi tunaotumia tusiweze kupata habari, kwani na sisi tunalipia.

    Imefanyiwa marekebisho kwenye KISARA-admin

  2. mrfroasty 31/07/2009 kwa 8:53 mu ·

    Sisi ni wasomaji wa gazeti la majira, twambie unalipa kiasi gani tukurudishie fedha zako :)

Comments are now closed for this article.