7 Comments on "TUNATAKA UHURU WA TAIFA LETU—- KWA SAUTI MMOJA."
mrfroasty20/03/2010 kwa 7:32 um ·
Heshima mkuu, hiyo ya wazalendo wa kizanzibari kusimamisha bendera swafi kabisa.
Huenda tukaitumia katika headers za baadae.
P:S
**Jengine hili chapisho lilikuwa limetiwa tick category zote, na limewekewa nywila ili watu waone.Administration imeondosha nywila au password, na kulichapa.Machapisho yako ya mwisho 2 yalikuwa yako kwenye draft.Tumeassume kuwa hujamaster vizuri kutumia mtandao, hivyo tumechapa right away.
Kama ulikuwa na makusudia mengine, tafadhali usisite kutujuilisha.
Ali Busara20/03/2010 kwa 11:45 um ·
@ AshakhAhsante @ Mrfroasty…hamna baya ata mmoja lililofanyika…kwani izo LOGO nimeziweka kwa kila 1 wetu ajue kama ZANZIBAR ni taifa kamili..na sio mpaka Pembeni ya BENDERA yetu tuwe kewe bendera nyengine ndani yake.Nafkri somo letu litaanza apo..
ashakh20/03/2010 kwa 7:38 um ·
Hawa jama wanao simamisha hii bendera ni kina nani?
Huyu mmoja naona kama mrfroasty, au wamefanana tu!!!
Huyu aliyeko huku nyuma naona kama ni Taymiya. Huyu mmoja nimemfananiza na Rasmi. Au nimekosea!!!!!
Ali Busara20/03/2010 kwa 11:44 um ·
Ahsante @ Mrfroasty…hamna baya ata mmoja lililofanyika…kwani izo LOGO nimeziweka kwa kila 1 wetu ajue kama ZANZIBAR ni taifa kamili..na sio mpaka Pembeni ya BENDERA yetu tuwe kewe bendera nyengine ndani yake.Nafkri somo letu litaanza apo..
mpemba21/03/2010 kwa 12:17 um ·
hongera mzee,
nakupongeza sana kwa hizi logo, ila kidogo natoa mawazo yangu ni kuwa hii ya watu wanasimamisha bendera imekaa kama logo ya USA amboyo inaonesha mashujaa wao wakisimamisha bendera yao. kwa mawazo yangu naona kama tutaambiwa tumiba ama tumekopi logo ya USA katika kuonesha taifa letu, hivyo basi mimi nashauri hii ya ndege ipo ok, au labdautupatie mchoro mwengine ili tutoe mawazo yetu yenge msingi ule ule wa kujenga.
asalm alyk,hyo ni safi wala tusiwe na shaka tumeshawajua kama si wenzetu hapa ni kumkalia mtu kidete mpaka watuganduke kupe wakubwa hawa,hivi kwani kama mtu umeshirikiana katika biashara na kama kwa upande wako hauna maslahi ukimwambia biashara haina maslahi kwangu kwanini ang’ang’anie usijitoe ?kwasababu anaona ya kua yeye hatofaidika tena ndo mana hataki ujitoe sasa hili ndo wenzetu wabara walonalo,ukweli hawa watu hawatupendi hata kidogo na wala hawataki tuendelee bajet y tanzania inatumika kufanya maendeleo bara hata peni moja haliji zanzibar mi nahisi mungano upo kama jina,ila wazanzibar tuache ukafu,tuache u ccm ,tuache uoemba n unguja tuliue adui letu mungano,watu wanakaa na kumiza vita vipi wataimaliza zanzibar kwanini na sisi tusikae kuiliza vipi tutajikwamua na hawa waja

INGIA WEBSITE HII ILI UONE HIO PICHA YA USA
http://www.fotosearch.com/bigcomp.asp?path=IDX/IDX031/191142.jp
ZANZIBAR NDAIMA
KAMA HIO WEB SITE HAIFUNGUKI INGIZA MANENO HAYO HAPO CHICNI KWENYE GOOGLE NADHANI UTAIONA HIO PICHA:-
“Stock Photo – Marine Corps War Memorial Washington DC”