Habari

Hamad amtembelea Shamis Ali

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amtembelea kijana Shamis Ali Khamis nyumbani kwao Mwembemakumbi. Shamis ni mmoja kati ya watu waliojeruhiwa wakati msafara wao ukiwa njiani kutoka mkutano wa Chama cha Wananchi (CUF) katika jimbo la Makunduchi, Unguja Kusini. Kijana huyo aliyejeruhiwa jicho la kulia anasafirishwa leo kuelekea Dar es Salaam kwa matibabu zaidi.

Wanamzalendo ipo haja ya kuwapigia Harambee waliofikwa na masaiba haya ili wajihisi nasi tupo pamoja nao na ziwasaidie katika matibabu.

Paypal ipo kwa atakaejaaliwa achangie na ref iwe Makunduchi.

Share: