IT IS SHAIN FOR ZANZIBAR
Written by Taymiya (Kiongozi) // 09/07/2010 // Habari // 15 Comments
THE National Executive Committee of Chama Cha Mapinduzi (CCM-NEC) Friday night overwhelmingly elected the Vice-President of the United Republic of Tanzania, Dr Ali Mohamed Shein, as the ruling party’s presidential candidate for Zanzibar.
Dr Shein scooped 117 votes, beating by far the former Zanzibar Chief Minister, Dr Mohamed Gharib Bilal, who garnered 54 votes. The Chief Minister, Mr Shamsi Vuai Nahodha, managed 33 votes.
The results culminated the hot race that involved 11 presidential nominees who were trimmed down to five before being pruned to three. Others in the list were the Deputy Chief Minister Ali Juma Shamuhuna, Zanzibar Education and Vocational Training Minister Haroun Ali Suleiman, prominent businessman Mohammed Raza Dharamshi, Chumbuni MP Omar Sheha Mussa and a civil servant, Mr Hamad Bakar Mshindo.
The rest were Mr Mohamed Yussuf Mshamba, Ambassador Ali Karume and the Deputy Minister for East African Cooperation, Mr Mohamed Aboud Mohamed.
Speaking shortly after the election, Dr Shein promised to strengthen the Union and promote unity and peace in the Isles. He also said that he would lead the country with wisdom, promising speedy development in Zanzibar in collaboration with President Jakaya Kikwete.
Dr Shein thanked CCM members for electing him, saying all nominees had competence and merits to be flag bearers of the party in Zanzibar presidential race.
He called for solidarity and unity among the party’s members to enable the party emerge with landslide victory in the forthcoming general elections in October. Dr Shein will be pitted in the Isles race against the Secretary General of the Civic United Front (CUF), Mr Seif Shariff Hamad.
According to the CCM Publicity and Ideology Secretary John Chiligati, the party’s special congress, to be held today and tomorrow, is expected to endorse the name of President Jakaya Kikwete as the party’s presidential candidate for the presidency of the United Republic of Tanzania.
Although Mr Kikwete, who is the incumbent president, has no opponent, the congress will still conduct a democratic vote. He also said that the running mate of the union presidential candidate is also going to be introduced to the party’s congress tomorrow evening.
Mr Kikwete, who enjoys massive backing from the more than 2,000 ruling party delegates, is expected to get overwhelming support in the vote.
Source Dailynews, in Dodoma 09/07/2010






15 Comments on "IT IS SHAIN FOR ZANZIBAR"
Mgombea mweza wa Jamhuri ya Muungano huenda ikawa ni Bilal kwa sababu vyovyote itakavyokuwa kwa majaaliwa ya Allah Rais wa Zanzibar atatokea Pemba Basi Makamu wa Raisi itabidi atokee Unguja. CUF wao mgombea mwenza ni Juma Duni, na Kwa CCM matarajio ni Bilali.
Tuombe kheri tu, ila kwa CCM ni palepale serikali mbili kwenda moja.
Naomba wawekaji makala kwenye mtandao tujaribu kuangalai mambo yafuatayo: Source ya makala (makala inamilikiwa na nani), Siku na tarehe ya makala.
Hii itaturahisishia kufahamu mtiririko wa uchapishaji. Imeshajitokeza kuwekwa makala ambazo ni siku nyingi nyuma tokea kutolewa. Inapoletwa hapa wengine tunafikiri ni mpya.
Wengine wanao ule uwezo wa kuchuja taarifa ya ukweli na za mitaani, hivyo tutakapo weka mmiliki wa taarifa itawezesha mojakwamoja kuiamini au laaa.
Sasa tumeshamjuwa Rais na makamo wake wa kwanza. Jee nani atakuwa makamo wa pili?
Tunaweza kuorodhesha majina ya wagombea wa nafasi hii bila ya kujali itikadi za kisiasa. Kwa vile tunalengo la kuunda serikali ya umoja wa kitaifa tuangalie nani mwenye uwezo wa nafasi hii. Vilevile tutumie prbability ili tuwze kumpata. Yaani ikiwa Shin ndio rais, makamu wa pili atakuwa “X” au Ikiwa Maalim Seif ndie rais makamo wa pili atakuwa “Y”.
Assalaam alaykum,
Naam ashakh tumemjua inshaAllah Rais na Makamo wa kwanza. Na mimi naamini sana kutokana na uzoefu wa Dr Shein wa umakamo probability ya yeye kuwa makamo wa kwanza ni kubwa zaidi kuliko ya kuwa Rais. Hata hivyo, mimi ninavyoona ikiwa Rais ni Maalim Seif basi Makamo wa pili ni Juma Duni Haji (sitarajii kama yeye na Prof Lipumba watashinda). Kama Rais ni Dr. Shein Makamo wa pili ni Shamsi Vuai Nahodha na kama hali itaruhusu basi atakuwa Mansour Yussuf Himidi (mwaka wa vijana).
Kuhusu suala la Dr. Bilali kupewa ugombea mwenza sidhani kama Mh. Kikwete atafanya kosa hilo. Nasema hivi si kwamba Dr. Bilal si msomi au hawezi kazi, lakini kwa sababu ameshindwa kucheza mchezo wa siasa. CCM hawataki watu wanoonesha kama wana msimamo, na yeye kaonesha 2000, 2005 na 2010. Lakini tukija upande mwengine hata sisi ambao hatuna kura wala influence yoyote ndani ya chama, zetu dua tu, basi hajaonesha kama ana imani na sisi. Maneno yake na wafuasi wake pamoja na vitendo vyao ambavyo wameonesha mwaka huu tukichangnya na historia yake wakati wa Firauni wa tano basi anatosha tumuombee dua asipate na iwe ndio mwisho wa siasa. Hoja ya Taymia ya kuwa Rais na Makamo kwa Zanzibar wametoka Pemba kwa hiyo Makamo wa Tanzania atoke Unguja – sidhani kama tunaangalia hayo, dhana ya Uunguja na Upemba sio inayotupeleka mbele wakati huu, lakin kama ikibidi kuweka uwiano basi Unguja wako watu wengi zaidi ya Dr. Bilal, usije ukashangaa kuyasikia majina ya Dr. Amani au Mh. Shamhuna lakini pia usije ukashangaa akachaguliwa mpemba hizbu – Dr. Salim Ahmed.
Nawapa pole Kisonge. Ndio ukubwa, ndio mambo, lakini waswahili wasema msiba wa kusudi hauambiwi pole. Mmelima, mmepanda na sasa mmevuna. Ushauri wa bure – vunjeni maskani, kura mpeni Maalim Seif, na kama kuna wageni kaombeni tiketi mtaewa muende kwenu.
Haya ni maoni yangu tu si utabiri. Nawasilisha. Naomba radhi kama nimekosea.
Makamu mwenza wa Muungano nilisikia kipindi cha nyuma kidogo kuwa atakuwa Karume (rais wa sasa).Lakini hio ni radio kifua mimi niliiisoma hio habari kutoka tzdaima.
Habari za ukweli kama kawaida ni kuvuta muda na kusubiria bila ya pupa. Unaweza chelewa jamvini kwa kusubiria na kupata vya uhakika :d
Hongera Shein kwa kuchaguliwa na chama chako kuwa mgombea urais kwa upande wa ccm, sinabudi kuwakumbusha wachangiaji kuwa naona sasa kuitetea zanzibar na watu wake wamesahau wanaloliangali kuwa mshindi katoka upande upi wa zanzibar hiyo isiwesababu ya kuwaona kisonge wanamsiba na wachangiaji kuona wanasherehe mbona naona mnacheza ngoma msio ijuwa alochaguliwa kachaguliwa na watu wa bara kura za zanzibar zote wamepata wanzibar kwa hiyo safari ya kuelekea zanzibar kuwa mkowa inaendelea kwa kasi kubwa walo mueka shein ndio hao hao wataompangia vya kuongoza tusijidanganye bado tuko kwenye makucha wa watanganyika ikiwa kachaguliwa bara hatoacha kuwapenda walo mchaguwa na akakupenda wewe kama mnafurahi kuizika zanzibar basi ni uwamuzi wenu huyo ni ccm kama ccm wengine wanabadilika kama kinyonga.
mambo yale yale nilikua kinywa nikichuja mwendo mdundo wa Urais SisiM.
Ile Kauli ya ‘Dr Bill bai bai’ imetimia leo hii, sasa hapa ndio msumari wa jahazi umemzama baba wa watu haibuki hata kwa Umakamu nawambia ndugu zangu. Dr Bill amekuwa na uzoefu na uweleo mdogo wa sisiM. sasa hii ndio CCM na ina wenyewe na sio yeye na wafuasi wake wachaaaachee.
Dr Bill, Ushauri wangu ni ule ule kaombe kazi Iran Ukarutubishe Urenium na pia uchunge na Obama kwani kuna sheria mpya sasa ya upatikanaji wa uranium. Hata hivyo sikuzote kumbuka penye kushindaniwa na wengi jua mmoja tu huwa ni mshindi wa kweli pia asie kubali kushindwa si mshindani huyo. kaka siasa ni kama sports ‘Michezo’mshike mkono mwenzako.
Sasa rudi kwa vijana wako wambie safari nimefika ila haikua na mafanikio maana visasi na hilba na uwadui wetu umetuponza na warudishie zile pesa walizo kuchangia kwa mbwebwe na vifijo. Maana ulijenga imani ya ushindi kwao lkn mambo yamekwenda kombo. Bahati ya rais MRISHO sio yako na bahati hazifanani kaka,pia ulishindwa kugeza subira za Rais JK za 1995 hadi 2005.
shukurani kwa CCM kumchagua Dr shein hata kama pori ni lile na nyani ni walewale lkn huyu sie nyani korwa.
Haya ni maoni binasfi hayahusiani na mtandao wowote.
Nawasilisha.
Ushauri wa bure kwa wanamaskani wa Kisonge na wafuasi wengine wa Bilali.
Maisha yenu yalikuwa yakitegemea sana chuki na fitna kupitia maskani zenu. Siku nyingi mmekuwa hamchangii maendeleo ya taifa hili bali mlikaa kama magolikipa mkisubiri wakati wa kura muvute uchache kutoka kwa wanaotaka kupigiwa kampeni.
Kwa vile mgombea wenu hakupita hali yenu ya kiuchumi itakuwa mbaya sana. Mnaonaje na nyinyi mkenda mkajiripua UKIMBIZI ungereza au marekani kama wahanga wa Bilali munaohofia maisha yenu? Kule mtapata kazi japo za mitulinga na zitawasaidia na familia zenu huku nyumbani.
mfloasty wewe ni mbaguzi kwerikweri mimi nirikuaga nareta abari za kira zinavojili apa dudumaa rakini urikuwa unazifutaga sio. mimi kira siku nawaambiaga mimi nawapendaga wazanzibali kwasababu wakiwa na nchiyao na sisi tutakuwaga na yetu tanganyika. mfloasty punguza kunifutiaga. rakini niwaambiage ure ukweri wa kisonge yariyotokea baadae, wanasemaga ati ikuru mara hii itaingiyaga goro.
rakini unajuwaga nyinyi sheni ni mtu wa kubuluzwa sana, yaani awezagi kuongoza ata kidogo wajameni, rakini maarimu sefu aminiya babaake atamuwekaga sawatu au vipi wajameni, nitawareteaga mizuka ya kisonge ikiibuka tu babaake.
@Kirinjiko
Tafadhali andika kiswahili sanifu, hio lugha unayoondika haifahamiki na inatuchengua.Kama unafanya joke, basi Mods nao watafanya jokes kwa kubonyeza kitufe cha Delete.
@heart, kumbe nawe ni ktk wale wahafidhina??? wanafiki?? utakuja kunambia, ila elewa sina nia mbaya na wewe ya kukutukana labda au vipi, ila tu naomba na wewe usaidie kununua battery za remote atayoendeshewa shein, pole sana kwa mawazo yako hayo.
thanks
@DEPSIS
wewe nimbongo au umetokea malawi? hebu funika kombe mwanaharamu apite kwanza, pia mi naona hata hiyo heading inapotosha kidogo, labda ingelikua hivi, IT’S SHEIN FOR KARUME, HIS TEAM AND MAINLAND PEOPLE, labda hapo ingeleta maana na ukweli, kwa nini tufiche ukweli? mpaka lini tutaficha, au mnataka yatokee yale ya ccm kuhalalisha mauaji ya 1964, hii ni aibu kubwa, tuacheni fitna na chuki jamani hazitatufikisha mahali popote, tazama chuki isiyo ya lazima iliopo kati ya komandoo salmin na karume, kisa eti salmin wakati rais, dr omar aliitwa na mkapa awe makamu wake, fatma karume mbio kwa salmin akamtaka amchague amani karume awe waziri kiongozi mrithi wa dr omar, jee hili tunaliangalia vipi nalo? ni ujinga na ubinafsi wa madaraka. nna mengi ila kwa leo ni hayo tu.
alamsiki
YAANI HAYA MAAJABU MAKUBWA HIVI MUNAMJUWA SHENI NANI NYIE? NAONA MUMEHEMUKWA NA SHENI, SHENI NI YULE YULE CCM KUFUATA ILANI YA CHAMA INASEMA ZANZIBAR IWE MKOWA.
HALAFU SHENI SIKU ZOTE HIZO JUU YA MALUMBANO YA ZANZIBAR NI NCHI AU SI NCHI NA JAMBO LA MAFUTA HATA SIKU MOJA HAJANYANYUA MDOMO, THUBUTU! KAMA ASINGELIFANYWA KAMA DK. AU KOLIMBA.
SHEIN MAKAMO WA RAISI WA NCHI LEO ANAKUJA KUGOMBEA ARAISI WA JIMBO NDANI YA JIMBO LA HIYO NCHI, HALAFU IKIWA AKIPATA AKIENDA HUKO AJE AWE WAZIRI ASIYEKUWA NA WIZARA MAALUM, AMA HII ITAKUWA DHARAU YA KUTUPWA KABISA.
INSHAALLAH TUMBE DUWA SHENI AJE SASA AWE NI MAKAMO WA RAISI WA ZANZIBAR NA TUOMBE DUWA KURA YA MAONI IPITE.
MIMI NILITUMAINI SANA IKIWA BILALI KAMA ANGELIPATA NA IKIWA KWELI ALIKUWA NYUMA YA SALMIN BASI WABONGO WANGELIKIONA CHAO NA MUUNGANO WAO LAKINI WALISHTUKA MAPEMA WAKATUPACHIKIA HUYU ASOSEMA RABDA KUVALISHWA NGUO ZA KIHEHE. TATIZO LAO BILALI HAWAWAPENDI WAPEMBA TU NA UBAGUZI WALIUWEKA MBELE SANA KWA KUWAENDEKEZA KISONGE. DK MZIMA AKAKUBALI KUENDESHWA NA WANA PROPAGANDA ZA MATUSI WALE WAKISONGE WASIOJUWA KUANDIKA HATA MAJINA YAO LAKINI WAKITEMBEA HUTEMBEA NA MAPRADO NA WATOTO WAKIKE WADOGOWADOGO TU.
WEWE TAYMIA UNAJIDAI HAPO BILAL ATACHAGULIWA MWENZA, UNAFIKIRI WATANGANYIKA MAZEZETA KAMA SISIEMU WA KISONGE, WATAMTAFUTA MZANZIBAR ASIYEWEZA KUSEMA LOLOTE MBELE YA NJAA NA SIHASHA AKAPEWA NAHODA ASIYEJUWA TENA BEI YA MKATE WA BOFLO CHAKULA MAARUFU ZANZIBAR.
TUOMBE DUWA WAZANZIBAR TUWE WAMOJA NA KURA HIYO YA MAONI JAPO HAIJAWA SULUHISHO LAKINI HUWENDA UKAWA NDIO MWANZO WA KUHESHIMIANA.
Muliotangulia kutoa maoni. Tukumbuke kuwa Wazanzibar tunayo maradhi mawili makuu. Moja nila Muungano. Pili ni ubaguzi, uhasama, msuguano miongoni mwa Wazanzibar wenyewe.
Hivyo kuchaguliwa kwa Dr Shein, naamini watu wamefurahi kwa kuwa na matumaini haya maradhi yanaweza kupatiwa. Hasa kwenye gonjwa la uhasama, ubaguzi, msuguano, nk miongozi mwa Wazanzibar.
@Kwaomtu
Hilo gonjwa la Muungano, litajitibu wenywe pale tutakapo weza kutibu hili gonjwa ndugu. Hivyo Dr Shein hata asiweze kulitibu gonjwa la muungano, tutakuja litibu baada ya miaka 5. Hapo tutakuwa na nguvu kedekede na utaalam wa hali yajuu.
Pengine ni wewe Kwaomtu utakae simama kugombea urais mwaka huo kupitia chama chako, kwa vile mazingira sasa yanakuruhusu.
@kwaomtu
hapo umenikuna, cha kusubiri ni kura ya maoni tu, sheni awe makamu wa rais, maalim seif akasahihishe muungano, wazanzibar wenzangu msiwe na wahka, kheri inakuja, mafuta yatakua yetu pekee, sio ya kikwete wala fisadi aly hassan mwinyi (ally kitarabu)sijuia nani watampa huo umakamo wa rais bara ( uzezeta)ni angelipata bilal ( mwanafunzi wa salmin kisiasa)
basi wabongo wangekoma, hakuna cha mafuta wala bandari, tazama mpaka hii leo bandari huru ya zanzibar ipo jina tu, sio karume wala shein waliothubutu kulizungumzia hilo, kwaomtu sio dr omar na kolimba pekee, pia kuna SOKOINE NA KIGHOMA MALIMA, hawa wote walikua na misimamo ya kweli na sio unafiki, tazama walivyoweza kumnyamazisha mzee wa watu malecela, jee hawa ccm ni watu kweli? hata wabara wenzao wanawafanyia ubaya,
hongera dr SHEIN, ila ardhi yote ya zanzibar anayo karume na wanawe, ila bahari ndio hajaigusa bado, labda kwa vile wewe phd yako sio ya kimagumasha labda utaweza kujenga baharini.
maalim seif rais, shein makamu wa rais (mkoa wa zanzibar)