Habari

Lugha za chuki zakemewa Bunge la #Katiba

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wameonywa wasitumie lugha za kibaguzi zilizojaa chuki na vitisho Bungeni hapa, kwani kauli hizo zitalisambaratisha taifa.

Tahadhari hiyo imetolewa mjini Dodoma na wajumbe wawili wa Bunge hilo, Kabwe Zitto na Khalifa Suleiman Khalifa.

Share: