Matatizo ya kiufundi

Written by  //  17/07/2009  //  Isio-gawanyo  //  Zima maoni

Tunaomba samahani tokea jana tarehe 16-07-2009, tumekuwa na matatizo ya DNS.Temelazimika kubadilisha network setup locally, na kufanya mabadiliko kwa hosti wetu huko marekani.Lakini naona bado wana rekodi zetu za zamani na hichi ndio kinachopelekea mzalendo.net kuwa down, na mara nyengine kuwa hewani.

Tushawasiliana nao, tunatarajia tatizo hili litakuwa fixed haraka iwezekanavyo.

Asanteni….
Ing Mrfroasty

Comments are closed.