Matokeo ya Kituo cha Tumekuja [Maoni]

Written by  //  31/07/2010  //  Habari  //  3 Comments

Matokeo yasio rasmi kutoka Kituo cha Tumekuja

Matokeo ya tumekuja school waliotakiwa kupiga 350, wamepiga 267, kura ndio 231, hapana 33, zilizoharibika 3.

Tumekuja number, wapiga kura 350. wamepiga kura 250 ndio 219, hapana 26, zilizoharibika 5.

Chumba 3, walitakiwa kupiga kura 350, waliopiga 345, ndio 209, hapana 30, ziliharibika 6.

Kituo number4, waliotakiwa kupiga 356, waliopiga kura 252, ndio 224, hapana 26, zilizoharibika.

Kura zote zilizotakiwa kupigwa 1406

Waliojitokeza 1014

NDIO 883

Hapana 115

Zilizoharibika 16.

@Stonetown

Shukran

3 Comments on "Matokeo ya Kituo cha Tumekuja [Maoni]"

  1. mashelisheli 31/07/2010 kwa 5:57 um ·

    ALHAMDULILLAH. INAFAA MOLA ASHUKURIWE KWA HILI NA MENGINEYO YAJAYO. KWA MATOKEO HAYA YA TUMEKUJA NDIO NI ZAIDI YA 87%.

  2. Ghalib 31/07/2010 kwa 6:26 um ·

    Alhamdu lilah,mungu ashukuriwe,inaonesha itapita ndio zadi ya asilimia 78% mungu ibarika zanzibar

  3. Mtu-wakale 31/07/2010 kwa 10:21 um ·

    Tumekuja na Bububuu ni halindwa tu, taarifa rasmi ni kuwa Pemba, moto mkali kwa mikoa yote miwili na wilaya zake nne. habari ni kuwa wale ma-CCM wenye muelekeo wa kihafidhina, wasiopendelea mabadiliko, leo hawakutoka nje ati wamefutuka, wanapinga kura ya maoni. Inasikitika maana hata ule utaratibu wa kupinga hawaujui. Hii imetokana kuwa wapingaji wa kura ya maoni hawakuwa na viongozi waliyojidhihirisha wazi wazi na kuweza kuwasidia wenzao kwa kuwaelimisha namna ya kupinga kura ya maoni. Maana kura ya maoni ni kuulizwa unataka au hutaki -NDIYO na hapana, sasa wewe ukijifungia ndani kwa kuwa unapinga unasaidia ushindi kwa wanaosema NDIYO.

Comments are now closed for this article.