Maoni kwenye: Matokeo zaidi ya kura ya maoni

Kwa: seletochiy
kama unataka hutaki zanzibar leo imezaliwa upya.

lakini tusile mseto tukasahu muhogo na ndizi zetu.

ina mana tuwe macho na yanayofuatia.

allah ndie pekee wa kushkuriwa.

mungu ibariki ZANZIBAR.

Kwa: zamko
Salaam ndug wachangiaji na mada hii ya matokeo,

Mimibado ninwasiwasi mkubwa na tue ya Uchaguzi, lakiniIshaallah ASW atatuletea kheri na faraja kwa Visiwa vyetu. Tujue huu ni mwanzo tu na sio mwiho, kinachonishangaza ni baadhi ya ndugu zetu wa  majimbo ya Unguja. bado wanakasumba za CCM na hawataki kubadilika na ndio maana wakapiga kura ya hapana.

Hawajui kwamba (ASW) kasema  hawezi kukibadilisha kitu au nchi mpaka nafsi za wananchi zibadilike. Sasa kama hatujabadilisha nafsi zetu haknua kitakachobadilika. Mfano mdogo ni huuwa hayo majimboyaliotajwa kwamba hawataki mabadiliko a wanataka Zanzibar Imezwe na Tanganyika. Ndio maana wakasema HAPANA.

Lakini Allah karim , Ishaallah tutapata uafaka wa Visiwa vytu na Wazanzibari wote walikua wamesema HAPANA watakuja nufaika. Kwani Neghema  ikija humfikia kila mtu.

Kwa: Administrator
0830am:Latest:

Unguja majimbo yaliosema HAPANA ni MAKUNDUCHI, CHWAKA, MUYUNI, KWAHANI, DOLE, CHAANI, UZI, DONGE kwa ujumla majimbo 8 tuu yamekataa na majimbo 42 yote ya Unguja na Pemba nzima yamesema NDIO.Matokeo rasmi kutolewa na Tume leo saa nne usiku.

Zanzibar yasema NDIO, HONGERA WAZALENDO!

Hio ndio latest kwenye chapisho la mwanzo, hivyo kwa ufupi wazanzibari wote wamesema NDIO.Tunaombwa tuache mjadala wa asili, mjadala wa asili na ukabila hauna afya tunaombwa tuache hususan kwa sasa hivi.Shukurani

Maasalaam,

Kwa: showayb ali
Ni haki yao, lakini Unguja bado hawajakuwa na nia safi ya Mabadiliko.

Sijui kama kuna tofauti sana na matokeo ya kura zilizopita.

Hapa TUME ya UCHAGUZI, UADILIFU na Wasimamizi kuwa makini.

Salmini alisema nalitote.

Jamani badilikeni Muiokoe nchi

Kwa: chunaameirhaji
AMIN!

Kwa: Bostoki
There seems to be a light at the end of the tunnel.  Shukran kwa kutukata kiu japo matokeo hayajawa official, lakini tunapata kuona muelekeo wa matokeo yatakuwaje.  Wengine kesho kazini na hivi sasa ni saa saba unusu usiku, lakini usingizi hauji.

Mola ibariki na uirejeshee hadhi yake Zanzibar, na Uwaangamize maadui zake wasije juu daima – Aamin.