Muungano usiwo shirikishwa wananchi una baraka gani za kulin

Written by  //  06/09/2010  //  Mengineyo  //  Zima maoni

Mimi hushangazwa sana na upande wa pili kuambiwa tulinde Muungano kwa nguvu zetu zote. Lakini kuzungumzia Masuala ya Muungano ni kosa la uhaini. Kwa upande wa Zanzibar Muungano ni kama (Alergic food) hulazimishwa tu kukila.

Comments are closed.