Nauliza ili nijue tanhanyika baada ya kupata uhuru ilikuwa s

Written by  //  21/08/2010  //  Mengineyo  //  5 Comments

Tafadhalini sana mnifahamishe kuhusu hili maana zanzibar alikuwa ni mwanachama na kiti chake kwenye umoja wa mataifa sasa hawa tanganyika na wao walikuwa nacho kiti hicho kwenyenye umoja huo mimi nimeona picha na kupandishwa bendera ya zanzibar ikipandishwa kwenye umoja wa mataifa ya tanganyika sijapata kuiona ombi langu kwenu wana ukumbi naomba nifahamishwe hili ili nipate kuelimika asanteni sana

5 Comments on "Nauliza ili nijue tanhanyika baada ya kupata uhuru ilikuwa s"

  1. kirinjiko 21/08/2010 kwa 7:52 um ·

    Oya wewe mazee Tanganyika irikuwa ya mwanzo kuwa mjumbe wa UN kabra ya Zanzibali. mambo mengine usiurize apa ukajitafutiaga umaalufu.

  2. mchongoma 21/08/2010 kwa 9:04 um ·

    @KIRINJIKO:-Wewe umesema eti TANGANYIKA ilikuwa ya mwanzo kuwa mjumbe wa
    UN kabla ya ZANZIBAR.Sasa mimi nataka kukuuliza; ilikuwaje hata TANGANYIKA ikapoteza uwanachama wake wa UN?? Au imenyaganywa kiti chake
    cha UN baada kubadilisha jina, na kujita [TANZANIA]

    ZANZIBAR uwanachama wake mpaka hii leo upo hai, na inshallah karibu bendera ya serikali ya mapinduzi itapepea UN. M\MUNGU atupe maisha ilitujionee kwa macho yetu. AMEEN

    NAWAKILISHA.

  3. zamko 22/08/2010 kwa 12:19 um ·

    @Kirinjiko:….Doooh!!!!! hii hatari, kumbe kuna watu humu ndani ya Taifa la Tanganyika/ Tanzania bado hawajui kusema/kuandika lugha yetu ya kiswahili!!!!

    @kirinjiko: Ndugu yangu usitutie aibu, nataka utafute shule na ukasome kiswahili. Hii sio siri Aisee….!!!! Maana hivo ilivoandika mtu akikusomea utakatika mbavu kwakujicheka mwenyewe. Hata Makaburu na Zul kutoka South Africa wanazungumza kiswahili safi kuliko wewe.

    Yule mzee kifimbo cheza anaewarekebisha watu wanaochafua lugha akikukamata atakutia kingowe.

    Jibu la suala.:
    Mimi sijawahi kukiona kiti kinaitwa Tanganyika sijuwi huyu ndugu (kirinjika) anaesema Taganyika ilijiunga mwanzo kuliko Zanzibar. Sijui kakiona wapi kiti hicho na bndera ya Tanganyika kwenye UN. isipokua ya Zanzibar niliiyona na ilikua wazi wazi. Sasa hapa sijuwi kama ule mkataba wa Muugano hewa.

    Na usainiji wa paper za Muungano uliofanywa na Nyerere in April 1964; alifanya haraka ili apate atumie kiti cha State of kiwe cha Tanganyika/ Tanzania? Au vipi. Kwani palikua na mazingaombwe makubwa kwenye docs zile. Hili nitawauliza wenye elimu zaidi watufahamishe.

    Nawasilisha

  4. msa 23/08/2010 kwa 8:45 mu ·

    @kirinjiko,
    Labda huyu Mtanganyika anakusudia vile viti vya Majini(Shetani)
    labda atufahamishe vizuri kakusudia kiti kipi?

  5. zamko 23/08/2010 kwa 12:34 um ·

    Katika pekura yangu sikuona Tanganyika kuwa na kiti cha UN before The Peoples state of Zanzibar.

    Kama kuna mtu ana data za Tanganyika na UN,tunaziomba ziwekwe hapa na Watanganyika wajionee wenyewe ukweli wa mambo.Nasio waone tunapiga domo tu.

    Serikali ya Tanganyika walipeleka maombi ya kujiandikisha na UN wakati ule ule Nyerere alipojitilia saini yeye mwenyewe mikataba yake ya Muungano Hewa.

    Kwakujua kwamba UN watakapo pokea barua na mikataba yao isiyokua na majina wala saini UN watakifuta kiti cha Zanzibar. Lakini naona walikieka Pending, kwani nasikia mpaka leo kiti hicho kipo well…who knows….(allah-ya-alam)sina uhakika.

Comments are now closed for this article.