Sauti:Mahojiano na Author & Historian Mohamed Said
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 05/10/2009 // Mengineyo, Sauti // 1 Comment

Katika kitabu chake cha “The life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The untold story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika” mwandishi Mohamed Said anaangalia mchango wa waislam katika harakati za kuleta uhuru wa Tanganyika. Je waislam ndio walioanzisha TAA na TANU? Je ni kweli Mwalimu Nyerere alinyakua TANU toka kwa waislam na kukifanya kuwa chombo cha kanisa? Nani alisaidia sana kuleta uhuru wa Tanganyika kati ya Mwalimu Nyerere na Abdul Sykes? Sikiliza zaidi.





One Comment on "Sauti:Mahojiano na Author & Historian Mohamed Said"
Shukrani Sheikh Muhsin kwa kutuwekea mahojiano haya ya Mohammed Said na Radio Butiama. Kwa hakika mchango wako ni mkubwa sana kwa elimu hii unayotupa. Allah tu ndiye ajuwaye namna njema ya kukulipa. Kila mtu ana mchango wake kwa nchi yake, nawe huu ndio wako. Tunautambua na tunaukubali.
Nduguyo daima,
Mohammed