Maoni kwenye: mpinga serikali ya umoja afukuzwa kazi

Kwa: popobawa
Hakuna haja ya kuwavumilia wasaliti wa nchi yetu. Hawa wanaopinga wote hawana uchungu na zanzibar, wanafaa kuandamwa.  Wasitumie vielelezo vya mapinduzi na demokrasia kutuzidishia umaskini.

Nimeskia kuwa masheha 2 pia huko Pemba wamefukuzwa kazi akiwemo sheha wa Shehia ya Gando.

Hatutaki mapinduzi ya njaa, chuki na fitna tunataka mapinduzi ya maendeleo.

Kwa: Adim
Ndio muheshimiwa Rais waambie ukweli hao wanaojiita wana mapinduzi lakini hawajui madhumuni ya mapinduzi, ambao wanayatumia mapinduzi kuwa ni njia ya kujinufaisha wao binafsi, ambao wanalitumia neno mapinduzi kuwa ni njia kuwagawa Wazanzibari na ambao wanazitumia nyadhifa zao kupandikiza chuki miongoni mwa Wazanzibari, huo ni mwanzo na mfano mzuri kuwajibishwa viongozi wanajisahau kuwa nyadhifa walizopewa na wananchi ni kwa ajili ya kuwatumikia na sio kuwajengea chuki na kubaguwana, Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu, ZANZIBAR DAIMA.