Maoni kwenye: PICHA ZAIDI ZA KURA YA MAONI

Kwa: binamu
TUSIMSHANGAE SANA HUYU SHEHA, NILISHASEMA MARA NYINGI KUWA, SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA, HUYU NI KATIKA WALE WALIOAMBIWA WANA MACHO LAKINI HAWAONI, KWELI ALIKUWA ANAMTII BOSI WAKE MKUU WA WILAYA KWA MAAGIZO ALIYOPEWA LABDA, LAKINI  KUSHAAONA TAWI HILI NI KAVU, TENA LINATATALIKA MPAKA LINAACHANA NAA MTI WAKE, BADO UNAENDELEA KULING’ANG’ANIA, HUSEMI NILIWACHE NISHIKE LILILO BICHI?, MAANA YAKE NI KUWA KILA MTU MPAKA AALIEKO NJE AAMESIKIA MPAKA HABARI ZA KUFUKUZWA KAAZI HUYO ALIEKUWA BOSI WAKE, BADO KUTOKANA NA JAMBO HILI, NA YEYE AMBAE HAZIMI WALA HAWASHI NI SAWA NA JOGOO AKAWIKA KUTAKUCHA , ASIWWIKE KUTAKUCHA. SASA ASIESIKIA LA MAMAE HUFUNZWA NA ULIMWENGU, KAMA ANAVYOSABABISHA WATU KULAZWA NDANI KWA DHULMA, MUONGO NA YEYE JAPO SIKU MOJA KASHALALA NDANI. NA SIJUI LAKINI NAONAA KAMA ZILE SH. 2000 ALIZOKUWA AKIZIPATA KWA KUJIFANYA ANATOA VIBALI VYA KUITWA SHEHA SIJUI KAMA ATAENDELEA KUZIPATA TENAA, AMESHAJICHAFULIA MASKINI. HAYA SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA, NA KUSUDI HAIAMBIWI POLE.

Kwa: Mtu-wakale
Huyu sheha wa Mwera, ni miongoni mwa watu wa chache wanaopenda kuiyona Zanzibar, siku zote inamunyung’uka badala ya Wazanzibari kuwa kitu kimoja ndani ya nchi yao. Serikali inapaswa kumchunguza Sheha wake ni Mzazibari kweli. Rais mwenyewe amewataka wananchi kupiga kura ya NDIYO, lakini Sheha, anasimama mlangoni kushawishi watu wapige hapana,tumuhesabu vipi?.., mbona kichekesho. Rais na Sheha wa Mwera ni yupi mwenye maslahi makubwa ndani ya nchi. Masikini Sheha, anaona bora mgawanyiko kuliko umoja – pole sana Sheha.