Programu ya MZALENDO

Written by  //  24/07/2010  //  Isio-gawanyo  //  Zima maoni

Kwa muda kulikuwa na harakati za kubadili mfumo wa links zilizopo upande wa kulia kuziweka kwenye mtindo ambao utapunguza ghasia.Hivyo nimetengeneza programu au WordPress plugin ambayo inaweza kufanya kazi hio.

Plugin hio tumeanza kutumia na hivyo viungo vyote viko kwenye orodha, na ukiclick website hio itafunguka.Hii ni program made by mzalendo na mimi mwenyewe kama fundi wa mtandao huu ni mtunzi wa programu hio.Hivyo leo tumeshaitoa kwenye public domain, na tumeweka njia za watumiaji hao kama watapendelea kuchangia au kutoa mchango mdogo kama ni hisani ya kutumia programu hio bila ya malipo watoe michango yao kwenye account ya MZALENDO ya paypal.

On top of that enjoy the plugin!

P:S
Kiungo kamili cha plugin hio ni bonyeza hapa

Gr
mrfroasty

Comments are closed.