SALAM KWA WEB YA BBC YA KISWAHILI

Written by  //  31/07/2010  //  Habari  //  2 Comments

BBC TUNAWAHESHIMU SANA LAKINI TUNAWAOMBA HIYO PICHA MULIOIWEKA INATUDHALILISHA WAZANZIBAR. ZANZIBAR YA LEO SIO YA 1964 WALA 2005. LEO WATU WANAPIGA KURA KIISLAM NA SIO KIKAFIRI KAMA ILIVYOKUWA IKITOKEZEA KWENYE UCHAGUZI ZILIZOPITA.

TUNAOMBA KUPITIA ALLY SALEH UWAAMBIE JAMAA ZAKO KAMA HAWANA PICHA BASI WACHUKUE HAPA MZALENDO NA TUMESHAWAIDHINISHIA WALA HAWAHITAJI KUOMBA. KAMA MUNAONA TABU BASI NI BORA MUKATUEKEA JAPO YA BAIT AL AJAIB.

UONGOZI WA MZALENDO NAOMBA RADHI KWA KUEKA HABARI HII LAKINI SIJAONA NJIA NZURI YA KUWASILISHA OMBI LANGU ZAIDI YA HII.

2 Comments on "SALAM KWA WEB YA BBC YA KISWAHILI"

  1. Ally Saleh 31/07/2010 kwa 6:34 um ·

    Sina mamlaka ya kusema kwa niaba ya bbc.

    Ila nimeona barua kuhusiana na picha iliyotumiwa katika mtandao wa bbc na msomaji mmoja analalamika.

    Nimeitizama sana picha hiyo na nimeshindwa kujua analalamikia nini.Ni kweli pengine hakuipenda picha hiyo kwa sababu zake, lakini kihabari hiyo ni picha nzuri sana.

    Ni picha ambayo inaonyesha taabu ambazo wazanzibari wamezipitia na hata kufika kufanya kura ya maoni leo.

    Sioni ubaya wa picha hiyo kwa sababu ni tukio la kiuchaguzi ambalo mara nyingi huishia katika hali kama hiyo.

    Samahani kama hiyo itakuwa inaleta picha mbaya ya zanzibar, lakini ndio historia yetu na tena si ya zamani maana hao askari ni wa jku naamini na vitendo hivyo vinafaa kukemewa ikiwa ni pamoja na njia ya
    kutiwa aibu kama hivi.

    Ally Saleh

  2. swaglish 01/08/2010 kwa 8:53 mu ·

    sawa sawa ally saleh haina tatizo lolote mm a tu basi nilijuwa imekusudiwa nini kuwekwa picha hiyo haina mashaka yoyote
    nahuyo anae lalamika hakusema ukweli zanzibar hatupigi kura kiislam niuwongo kwasababu walio andikishwa ni kidogo sana ambao wanapiga kura na wasio andikishwa yani tulonyimwa haki zetu ni wengi so hapo tu hakuna haki yani hakuna uislam
    na nakwambia usiwaamini sana hawa ccm ukasema mumepiga kihaki,, hatuombi yatokee mabaya ila hawa hawaaminiki bro kuwa makini na unayo sema

    swaglish hapa,,

Comments are now closed for this article.