sauti ya uchaguzi wa amani visiwani

Written by  //  08/09/2010  //  Habari  //  2 Comments

slm alakum wanzanzibari mimi nataka kuchangia kidogo kuhusu huyu bw. said soud kuwa amewahi kufugwa kwa wizi wa fitambaa dukani kwa seif said chake chake pemba hafai hata kugombea urais.

2 Comments on "sauti ya uchaguzi wa amani visiwani"

  1. Utomvu 08/09/2010 kwa 11:31 mu ·

    kumbe huyu dingi said sudi tunaweza kumwita
    nimgonjwa waakili,licha hafai kugombea uraisi hata kuishi
    najamii yakizanzibar hafai pia nasema hivo
    kwasababu ana macho haoni, ana masikio hasikii
    na ana pua hahisi harufu, tumwite mtapia mloo
    mimi naona anichefua roho, Mungu sw ibariki zanzibar
    nawabariki waipendeleayo mema zanzibar amin,
    mimi nilimsikiliza hayo maongezi yakee nikaona huyu
    anapapatua tongekwatonge but tunakwambia yagujuuuu.

  2. ashakh 08/09/2010 kwa 11:06 um ·

    Wazalendo naomba tupunguze kashfa kama hizi kwa watu wote.
    Tutumie lugha za busara zinazoeleweka. Hata iwe amekera kiasi gani hakuna haja ya kutuo kashfa zake. Lengo ni kujenga na sio kuboa.

    Wazalendo nasisitiza tena, tujadili mada na sio mtoa mada. Kinyume chake tutakuwa tumekwenda nje ya malengo ya mtandao huu.

Comments are now closed for this article.