Sauti:Kuelekea Serekali ya Umoja wa Kitaifa
Written by administrator // 27/08/2010 // Sauti // Zima maoni
Na Ally Saleh,
Leo Agosti 27 ilikuwa ni siku ya historia ambapo Katiba Mpya kwa Kenya Mpya ilitiwa saini. Mwandishi wa Zanzibar Ally Saleh wa BBC alitoa taarifa ifautayo kutathmini hali ya kisiasa ya Zanzibar baada ya Kura ya Maoni na sasa kuelekea kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa.
Sikiliza repoti ya Ally Saleh,




