LIVE:Mashindano ya kuhifadhi Qurani – Zanzibar

Written by  //  20/08/2010  //  Sauti  //  9 Comments

Video clips at Ustream

9 Comments on "LIVE:Mashindano ya kuhifadhi Qurani – Zanzibar"

  1. mrfroasty 20/08/2010 kwa 9:47 um ·

    Shk Hassan huko Zanzibar mambo hayo, test muhimu kabla ya tukio….Sina uhakika tukio hilo litakuwa saa ngapi, unaweza pia badilisha muda au kutupasha habari ni muda gani tukio hilo litafanyika huko Zanzibar.

    Natanguliza shukurani…

    Maasalaam,
    mrfroasty

  2. mrfroasty 20/08/2010 kwa 9:52 um ·

    One more thing musisahau kubonyeza Record wakati wa kurusha matangazo, hii inasaidia kwa wale ambao wamepata urudhu kupata kutizama recorded mara tuu baada ya tukio kumalizika.

    WS

  3. Administrator 21/08/2010 kwa 12:57 um ·

    Shukurani za dhati kwa timu yote ilioko Zanzibar na Shk Hassan kwa kufanikisha tukio hilo.Kuna matatizo madogo ya limitations, nadhani recorded video hio inasikika sauti tuu bila ya picha.

  4. stonetown 21/08/2010 kwa 8:03 um ·

    Assalamu alaykum,

    Kwa Niaba ya Uongozi na Wanachama wa Mzalendo.net, napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru Atas Pro, [Eddy Taimur]. Vilevile shukran za pekee ziwaendee Zanzibar Connection kwa kutuwezesha kutupatia huduma za Network.

    Kutokana na limitation ya Bandwidth tulishindwa kuweza kustream kama tulivyopenda. Lakini Inshaallah siku zijazo tutaweza kufanikisha shughuli hizi kikamilifu.

    Vile vile tunapenda kutoa shukran zetu za dhati kwa Jumuiya ya Kuhifadhisha Quran Zanzibar kwa msaada waliotupa kukamilisha zoezi zima la kuonyesha mashindano hayo.

    Inshaallah Kesho tutajaribu tena kuonyesha fainali za wanawake zitakazofanyika kwenye Ukumbi salama kwenye hoteli ya Bwawani kwenye Majira ya saa tatu asubuhi saa za Afrika Mashariki.

    Hassan

  5. Taymiya 22/08/2010 kwa 9:49 mu ·

    @Sh. Hassan Tunaomba uwaeleze hao technicians ambao wapo karibu n hizo Mic wapunguze sauti zao, zinaharibu usikivu wetu.

    Ahsante sana.

  6. stonetown 22/08/2010 kwa 9:55 mu ·

    Ust Taymiya

    Hebu nieleze hapo nimedisable, laptop microphone jee, sauti ipo?

    Hassan

  7. Taymiya 22/08/2010 kwa 10:00 mu ·

    Hapo Sh. Hassan bado sauti zinakuja, halafu huyo ustadhaat ameitamka kimakosa hii mzalendo na amesema kuwa inapatikana Tanzania nzima, bali ilikuwa ajuulishe huo umati ya kuwa mashindano haya yanaonekana ulimwengu mzima.

  8. Taymiya 22/08/2010 kwa 10:20 mu ·

    Sh. Hassan naomba kama wewe unashindwa kuwasilina nao tafadhali nipe namba zao za simu hawa mafundi mitambo, mazungumzo yao yanaondosha haiba ya usikivu wetu.

    Hii kwa Mzalendo ni hatua ya mwanzo, makosa madogo kama haya inatakiwa upesi tuygunduwe na kuyaondosha haraka iweze kanavyo.

    Ahsante na pole sana kwa kazi ngumu iliyokukabili.

  9. stonetown 22/08/2010 kwa 10:24 mu ·

    Shukran Sh Taymiya

    Nimejitahidi lakini tokea masuala ya kiufundi kwenye desk nililopo tupo wengi na huwa wanawasiliana na cameramen wao basi huwa taabu kdg, lakini naona sasa ni afadhali.

    Kuhusu anuani ya website tayari nilikwishamjuulisha pale pale.

    Hassan

Comments are now closed for this article.