Sauti:Mahojiano na Bi.Amina
Written by administrator // 02/09/2010 // Sauti // Zima maoni
- Nafasi za wanawake katka siasa na uongozi visiwani Zanzibar
Na Ally Saleh,
Mahojiano baina ya Mwandishi wa BBC Ally Saleh na Bi Amina Abdullah Amour kuhusu kwa nini wanawake wanapata taabu kuingia kwenye siasa kupitia ugombezi kwenye majimbo. Bi Amina mwenyewe alishindwa kwenye kugombea kiti cha Mji Mkongwe ingawa baadae amepenya kupitia nafasi maalum za wanawake za Chama cha CUF. Kwa hakika suala la wanawake kupata 50-50 katika vyombo vya uongozi ni gumu kwa Zanzibar kwa sababu nyingi kama ambavyo mahojiano haya yanavyobainisha.
Sikiliza mahojiano hayo:




