Sauti:Mahojiano na Dk Muhammed Bakar – Umoja wa kitaifa
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 19/07/2010 // Sauti // 2 Comments
Na Ally Saleh,
Taasisi ya Mustakbali wa Zanzibar MUWAZA yenye ofisi yake London, Uingereza kwa kushirikiana na taasisi kadhaa za Zanzibar mwishoni mwa wiki iliandaa warsha ya siku mbili kujenga muelekeo juu ya suala la kura ya maoni itayopelekea Zanzibar kuwa na Serikali ya Umoja wa Kitaifa. Makala nane zilitolewa na mojawapo ilikuwa ni ya Dk Muhammed
Bakar mhadhiri wa Chuo Kiku cha Dar es salaam ambaye Ally Saleh wa BBC alizungumza nae. Kwanza alimuuliza hivi ni kweli juu ya imani kwamba
kukiwepo Serikali ya Umoja wa Kitaifa basi upinzani nao hupungua na kwa hivyo kuwa na Serikali legelege?





2 Comments on "Sauti:Mahojiano na Dk Muhammed Bakar – Umoja wa kitaifa"
kweli kabisa ilikuwa hakuna haja ya kura ya maoni kama anavyosema pr Muhammed Bakari ni wested of money + time kwani hakika sisi tulio wengi wa wazanzibar tumehold ndio vote.
hapa tunajiuliza kwa nini ccm tanganyika ilishikilia lazima kuwepo na kura ya maoni?
wakijuwa kuwa wanzanzibar wanakufa na nchi yao na kupigania utaifa wao kwa hilo hawapo tayani kusema hapana.
swali je wanataka kucheza mchezo mchafu?
au wanataka kujuwa uwiano wa kura za ndio na hapana ni ngapi kwa mana hiyo wapate kujuwa vipi nguvu ya utawala wa Tanganyika una nguvu gani kwa zanzibar?
wanzanzibar tuna tamka rasmi kuwa tutaunda serekali ya umoja wa kitaifa kwa matokeo yeyote yale kwani tuna uhakika kwa kura ya ndio.
EWE MOLA ULIYE TUKUKA TUEPUSHE NA SHARI ZA MAADUI WA ZNZ NA WAZANZIBAR NA WALE WOTE WALIYO NA MABAYA WALIYO YAFICHA VIFUANI MWAO NA WASIO ITAKIYA MEMA ZNZ KWANI WEWE TU NDIYE TUNAE KUTEGEMEA KWA HILI NA KWA KILA KITU. TUNAKUOMBA YARRABI UTUPE IMANI KWA NEEMA HII ULIYO TUJAALIYA NA KUPASI MTIHANI HUU KWA SISI SOTE WAJA WAKO KWA KUWEKA NDIYO SIKU YA 31JULY NA KWA WALE WOTE WALIYO KUWA HAWAJAFAHAM UMUHIM WA KURA HII UWAPE UFAHAM NA WAZINDUKE.
TUNAKUOMBA YARRABI UTUSAMEHE YALE YOTE MABAYA TULIYOFANYIANA NA UTUFUNGULIE UKURASA MYA WA UPENDO NA USHIKAMANO.
YARRABI TUNAJUWA FIKA SIKU YA HUKUM ULIYO TUAHIDI BILA YA MSAMAHA WAKO ITAKUWA NI SIKU NZITO KWETU. TUSAMEHE MOLA WETU. AMIN
Niungane nawe Bw. Maguvu hasa ktk nukta ya mpango wa mchezo mchafu! Nafikiri hii kura ya maoni kwa CCM itakuwa kama ‘Pilot Project’. Itawasaidia kujua kwa kiasi gani wapange mikakati ya manyang’unya ktk kura wakati wa kipindi cha uchanguzi mkuu!