Sauti:Mahojiano na Hakim Kimara (human sensor web)
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 28/06/2010 // Sauti // 1 Comment
Na Ally Saleh,
Mtandao maarufu wa internet duniani google kwa kushikiana na chuo kikuu cha Twente huko uholanzi, kampuni ya simu za mkononi ya zantel,shirika la umoja wa mataifa la makaazi na mamlaka ya maji Zanzibar umekuwa ukiandesha mradi muhimu wa maji huko Zanzibar ambao unawezesha watumiaji kutoa taarifa ya maharibiko na kupata huduma ya haraka iwapo hawapati maji au maji ni machafu. mrtadi huo ni wa majaribio lakini tayari umeonyesha mafanikio makubwa na kuokoa muda na fedha nyingi.Afisa wa mradi huo ni Hakim Kimara. Mradi huo huitwa kwa kiingereza “human sensor web.” Ally Saleh alitaka kujua mengi kutoka kwa mratibu wa utafiti huo Hakim Kimara.





One Comment on "Sauti:Mahojiano na Hakim Kimara (human sensor web)"
Asante The brilliet Ally Saleh kwa mahijiano haya mazuri… masuali mazuri ulimuuliza..Lakini
Suali moja au mawili, ulisahau kumuuliza huyu Hakim Kimara. Je kuna majibu yeyote yanakwenda via sms kwa mtumaji kujulisha kwamba malalamiko yake yamifika, na jee itachukua muda gani kutatua tatizo liloripotiwa. Jee pale wanapokwisha kurekebisha tatizo wanamjibu yule alituma text kuripoti tazizo kwamba, tazizo limesharekebishwa na kumshukuru kwa kuripoti na kumuhimiza kuripoti tena wakati wowote ataofikwa na tatizo lamaji tena.