Sauti:Maoni ya wananchi kufuatia – NDIO

Written by  //  02/08/2010  //  Sauti  //  1 Comment

Sauti kwa hisani ya Salma Said,

MAONI YA WANANCHI KUHUSU KURA YA NDIO

 
 

One Comment on "Sauti:Maoni ya wananchi kufuatia – NDIO"

  1. Ghalib 02/08/2010 kwa 8:45 um ·

    DAH nimefurahi sana sana leo,naona huko nyumbani leo kulikuwa na sikuku furaha zilioje,kama ya mapinduzi ya mwaka 64,nafikiri imeonyeshe kuwa wazanzibar tayari wameshasameheana na na wako tayari kushirikiana kwa hila hali,sasa nawashauri viongozi kuwa kitu kimoja katika serikali ya taifa sio kupigana majembe,bali nikukaa na kurikiri na kutafuta mustakbal mzuri wa maelewano,mimonyoko wa viongozi ndio inaharibu wananchi,nawatakia kazi njema viongozi,pamoja na wanachi,zanzibar mpya udumu amini

Comments are now closed for this article.