Sauti:Mjadala mkali – Ongezeko la mafao ya wanasiasa Zanzibar
Written by Mrfroasty (Ufundi) // 22/01/2012 // Sauti // 2 Comments
Ally Saleh,
Mjadala mkali unaendelea kuhusu muswada wa sheria ya mafao ya viongozi wa kisiasa ambapo wajumbe baraza la wawakilishi
wasio katika serikali wa cuf na ccm wanaupinga na wamediriki kuuita kuwa unataka kuanzisha ufalme. Muswada huo unapendekeza mabadiliko
katika utaratibu wa ulipaji wa mafao ya viongozi na hata kuongeza tafsiri ya viongozi wa kisiasa na kuzusha upinzani ndani ya baraza la wawakilishi visiwani humo:




2 Comments on "Sauti:Mjadala mkali – Ongezeko la mafao ya wanasiasa Zanzibar"
vitu vya msingi havijadiliwi katika baraza kwa mfano suala muungano,limekuwa kero miaka 48 sasa ,umetutia umasikini,leo hii ndio kwanza waanze kutunzwa wafalme ambao wameitia zanzibar umasikini kwa maslahi yao binafsi.
mimi kama muakilishi suala la kutunzwa viongozi hawa hasa waliopita siungi mkono kwa sababu hawa ndio waliotuekea maradhi ambayo sasa hivi mgonjwa yupo mahututi ambae ni zanzibar.
kila siku zikienda tunazidi kuumia kwa mungano,hatupati hata fursa ya kuujadili barazani,kificho ndio hasidi wetu wa zanzibar. haya tundeni tu kama tutafika.
@ Wazanzibari wote wa ndani na Nje
Tumekabiliwa na majanga makubwa kuponkonywa Rasilimali zetu na hivi sasa hao WAFALME Waliokua Wametufikisha kwenye Umasikini. Na Kuifanya ZANZIBAR na WAZANZIBARI (miniheni){ hakukosa marehemu bibi yangu AS ampe nuru kwenye kaburi lake.}
Ndio bado wanapeleka Bills kwa Wiki mara tatu ili Wazidi Kutuibia hiyo rasilimali kidogo tunayoipata kwenye Machumo ya Karafuu.
Tusimame kidete na hili Tulipinge kwakuwapongeza Wawakilishi wetu wasiokuamo kwenye Serikali. Huu ni wizi wa kimacho macho na kuwarudisha nyuma Wazanzibari maskini. Mimi nduguyangu ana ADVANCED Diploma ya Labour analipwa laki tatu na nusu baaada yakuongezwa Mishahara.
Huku Wafalme wenye asili ya Kitanganyika Waliotuulia Nduguzetu wakati wa Mapinduzi, Wakatuuzia Nchi yetu kwa Tanganyika. Na Mwisho Kutubagua wenyewe kwa wenyewe na kutujazia Makanisa ndio waongezewe MAPOSHO. PAMOJA NA WATUMWA wao na KOO zao.
Hii haiwezekani abadana asilan. Tusimamae tuwaunge Mkono Wawakilishi. Na pindipo wakiongezea posho hizo basi tunatakiwa tuwacontact hao Donners wote wanaoonyesha kuisaidia Zanzibar.