Sauti:Mwezi wa Ramadhan – Zanzibar
Written by administrator // 18/08/2010 // Sauti // Zima maoni
Na Ally Saleh,
Waislamu kote duniani hivi sasa wamo katika mfungo mtukufu wa Ramadhan.Wakaazi wa Zanzibar nao wanaungana na wenzao kufanya ibada hii. Mwandishi wa BBC wa Zanzibar Ally Saleh anafuatilia funga katika visiwa hivyo na hii hapa ni taarifa yake.
P:S
Tunaomba samahani kwa kuchelewa kutoa habari hii




